Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Sodoma na Gomora iliaangamia kutokana na mambo haya haya ya kishenzi, wewe kama una akili mtu akijamba unaweza ukadindisha kweli? Mambo mengine ni mambo ya ufedhuli kabisa. Hivi kwa nini hukuwahi kufikiri Mungu alikosea kuumba macho yako na kuyaweka hapo yalipo?