Chirale Sanawa
New Member
- Jul 2, 2016
- 3
- 2
Kiukweli huo mchezo Sio mzuri Na pia huwaadhili sana wa Dada kwa kushindwa kujizuia haja kubwa wakat wa kujifungua Na pia ebu tuige wanyama sasa maaake tunakokwenda siko kwa wale wanaosoma angalau maaandiko matakatifu ebu someni hapa (1timotheo:1:10)utaona bibilia nayo imekataza Na Na iman hata kuran pia
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums