Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
Ameen ameen!nakataa Tu kwanza silewi nashukuru Mungu labda anipulizie madawa na sitamsamehe kwa kweli nitamshtaki I won't care Naapa kwa Mungu wangu mmoja,kuzini kwenyewe tunazini maana mahomoni ndo yanaletaga shida plus mastress sembuse kufanyiwa liwati!!big nooo!Acha tuliwe Tu mbele!hao wanafanya waache waendelee watajuana na Mungu Mimi ngoja nibaki mshamba tu
Hakika, mwanamke muelewa na asome hapa na elewe. Wengi wametanguliza pesa wameishia kuambukizwa magonjwa ya ajabu kwenye kuuguza ndio wanaoesha kujutia kwa upuuzi waliokuwa wanafanya.