Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Kitendo cha kuingiliana kinyume cha maumbile ni DHAMBI YA MAUTI (Mortal sin) ambayo haisameheki kwa Mungu. Ukitaka kutambua kwamba kitendo hicho ni kichafu angalia hata wanyama hawafanyi ujinga huo. Ni laana kubwa sana kuingiliana kinyume cha maumbile. Ole wenu nyie wote mnaoendekeza mchezo huo mchafu!
Lete ushahidi wa aya
 
Labda wanapenda sababu wanapata raha/ wanafurahia.
Sidhani kama mtu atafanya kitu ambacho hakimfurahishi/kumridhisha ilihali kipo ndani ya uwezo na matakwa yake
 
Duuh tuvuruge tope tuuu hamna jinsi
IMG-20200609-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom