Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Mbona Kama unayapigia promo Mkuu, au una kiwanda cha kutengeneza hayo mafuta! Maana nafikiri wengine wanahamasika kwa kusoma kama hivi.

Lkn nakupongeza kwa kutoa tahadhari pia kwa wahusika wa Sodoma!
 
Siku moja nilikwenda Supermarket Kununua KY Jelly ile kubwa kwa AJILI ya matibabu ya Babu yangu na ugonjwa wa KIBOFU looh nilipotoa pesa kulipia,mteja mwenzangu aliye nyuma yangu akamwambia mwenzake "yaani Kaka mzuri anakwenda kuharibu watoto wa kike".
Nikachekaa na kujiondokea...
 
Sasa si ufungue duka la pampers za watu wazima?

Mwanaume akianza hayo matamanio, kitakachofuatia ni kutaka kujaribu wanaume wengine, baada ya hapo atataka na yeye ajaribiwe kuona inakuaje. Turidhike tu na asili ilivyotengenezwa..
 
Leo nlienda kwenye supermarket ndogo anayouza rafiki yangu maeneo ya mjini, nkaangalia kwenye shelf ambayo mafuta ya Durex yalikuepo, kuangalia tena mafta ya Durex hayapo tena, wakati yalikua yamejaa kama dozen tatu hivi, nkamuuliza vipi mafuta ya Durex hamna tena au yameexpire mkayatoa, akaniambia hayapo kwasababu watu washayanunua yote, na bei ya chupa moja ndogo ya Durex silicon lube ni tsh elf 28..ifahamike kua matumizi ya mafuta ya Durex ni sawa na matumizi ya mafuta ya ky-jelly..Durex ni kilainishi cha kinachotumika mida ya ngono...sio lotion wala perfume..

Hii inaonesha mtaani hali ni mbaya, wadada wanapeleka midume kwa mpalange mbaya kabisa..baada ya miaka 50 nahis asilimia 56 ya wadada watakua wanavaa pampers za watu wazima..dooh

Hata usiwafikirie hao wengine fikiria kwanza mabinti zako
 
Leo nlienda kwenye supermarket ndogo anayouza rafiki yangu maeneo ya mjini, nkaangalia kwenye shelf ambayo mafuta ya Durex yalikuepo, kuangalia tena mafta ya Durex hayapo tena, wakati yalikua yamejaa kama dozen tatu hivi, nkamuuliza vipi mafuta ya Durex hamna tena au yameexpire mkayatoa, akaniambia hayapo kwasababu watu washayanunua yote, na bei ya chupa moja ndogo ya Durex silicon lube ni tsh elf 28..ifahamike kua matumizi ya mafuta ya Durex ni sawa na matumizi ya mafuta ya ky-jelly..Durex ni kilainishi cha kinachotumika mida ya ngono...sio lotion wala perfume..

Hii inaonesha mtaani hali ni mbaya, wadada wanapeleka midume kwa mpalange mbaya kabisa..baada ya miaka 50 nahis asilimia 56 ya wadada watakua wanavaa pampers za watu wazima..dooh
Wewe sio mademu tu wanawapeleka madume kwa mpalange,madume pia yanawapeleka wanawake wao kwa mpalange,na mademu kwa mademu wanapelekana kwa mpalange,na madume pia wao kwa wanapelekana kwa mpalange
 
Hii Laana Ya Kuwaf...a Wanawake Imeenea Sana....

Kimwili tunawaumiza....
Kiimani sijui tutajibu nini SAA IKIFIKA.....

Mwenyezi Mungu Avilinde vitoto vyangu vya kike vikifikia ukubwani aaaamin Aaaamin Aaaamin.
Kama na wewe ni mwanachama wa hio kitu basi jua na kwa wanao wajuba lazima wahakikishe nanga inatoka na tope.
 
Kama na wewe ni mwanachama wa hio kitu basi jua na kwa wanao wajuba lazima wahakikishe nanga inatoka na tope.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Mkuu Utakuwa Umeguswa na Maneno yangu "kimwili tunawaumiza".Mimi Ni MWANAUME,na wawaumizao miili wanawake Ni Sisi wanaume.....haina Maana nami nipo ndani ya UFIRAUNI huo mkuu wangu...

Mungu aniepushe na kizazi changu aaamin aaaamin.
 
Mkuu Utakuwa Umeguswa na Maneno yangu "kimwili tunawaumiza".Mimi Ni MWANAUME,na wawaumizao miili wanawake Ni Sisi wanaume.....haina Maana nami nipo ndani ya UFIRAUNI huo mkuu wangu...

Mungu aniepushe na kizazi changu aaamin aaaamin.
Ameeen ameeen mkuu.
 
kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

Naomba mawazo yenu wana JF

------------------------------

Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile:


mchoro.jpg

KWA UFUPI

Wakati idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ikiongezeka, asilimia 26.5 ya wanawake Tanzania wamebainika kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile. Wakati idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ikiongezeka, asilimia 26.5 ya wanawake Tanzania wamebainika kuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile.

Mfumo wa uzazi unaharibika

Watafiti wanabainisha kuwa kitendo hicho licha ya ukweli hakifai kwa vile kinaharibu mfumo wa uzazi, kina athari kubwa mno kwa mwanadamu, mojawapo ni ikiwemo uwezekano mkubwa wa wahusika kuambukizana virusi vya Ukimwi kwa vile hakuna vilainishi, hivyo kusababisha michubuko ambayo ndio njia kuu ya kuambukiza vijidudu hivyo.

Mtafiti Mwanasayansi, Irene Mremi kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini Tanzania (NIMR) alitoa ripoti hiyo hivi karibuni hapa jijini Dar Es Salaam. Mremi akiwa na jopo la watafiti kutoka NIMR anasema kuwa wanawake hao wamesema chanzo kikubwa kinacho wapelekea kufanya ngono kinyume na maumbile ni kujipatia kipato zaidi na Kuogopa kupata Mimba.

Vilevile alizitaja sababu nyingine za wanawake kufanya mapenzi kwa njia hiyo ni kulinda usichana wao na baadhi ya mila na tamaduni za baadhi ya makabila.

Sampuli za utafiti

Utafiti huo ulikusanya sampuli kutoka katika mikoa ya Dar es salaam, hasa maeneo ya Kinondoni, Tanga, Makete na Siha. Mremi anasema "Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa bar, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani. Katika maeneo hayo watu 903 walijitokeza wakiwepo pia wanaume ambao walihusishwa katika utafiti huo.

Imani potofu kwa wanaume

Wanaume waliohojiwa wamesema wanafanya kwa ajili ya kupata raha tu na imani ya kuwa huko hakuna maaambukizi ya VVU, kitu ambacho ni uongo, kwani huko ndiko kwenye kuchangia ukimwi kwa haraka zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote. Katika utafiti huo, wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema wanafanya tendo la kujamiiana kinyume na maumbile, licha ya kwamba ni jambo linalokatazwa na dini zote.

Tanga yaongoza

"Tanga ndiyo kumeonesha kukithiri kwa vitendo vya wanawake kufanya mapenzi kinyume na maumbile ukilinganisha na Makete ambako bado kuna idadi ndogo" anasema Mremi

Fikra za kulinda ubikira

Ilibainika kuwa wasichana wengine walikiri kufanya hivyo kwa ajili ya kulinda ubikira wao na baadhi ni mila na tamaduni za baadhi ya makabila.

Dk Mremi amekaririwa akisema " Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu wa baa, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani. Katika maeneo hayo watu 903 walijitokeza wakiwepo wanaume ambao walihusishwa katika utafiti huo". Wakati wa utafiti huo wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema wanafanya tendo hilo.

Dk Eliza Shayo, ambaye pia alishiriki katika utafiti huo anasema sababu ya kufanya utafiti huo ilikuwa ni kuangalia visababishi vya kusambaa kwa Ukimwi.

"Lakini pia tuliweza kujua tatizo la kufanya mapenzi kwa njia hiyo lina ukubwa kiasi gani" anasema. Dk Shayo pia anasema utafiti huo uliangalia iwapo wanaofanya vitendo hivyo hutumia kondom au la. Wengi walionekana kutotumia kondom wakifikiri hawawezi kupata virusi vya Ukimwi, imani ambayo sio sahihi.

Ni changamoto

Mwenyekiti wa Mtandao wa Jinsia Kusini mwa Afrika, (GEMSAT) Dominica Haule anasema utafiti huu ni changamoto kwa serikali, watunga sera na vyombo vya sheria. "Ni wakati muafaka wa kujadiliana nini kifanyike kupunguza tatizo hili. Hii ni hatari na haikubaliki," anasema Haule. Anasema wadau wa afya hawana budi kuhakikisha wanafuatilia kwa ukaribu na kuweka wazi madhara ya vitendo hivyo.

Mhadhiri wa Masuala ya Saikolojia, Dk Kitila Mkumbo anasema suala hilo linaweza kuwa na athari kiafya.

"Kisaikolojia, kama wao wawili wamekubalina sawa, lakini kiafya lina athari kubwa," anasema

Dk Mkumbo anasema ufanyaji wa mapenzi upo wa aina nyingi wengine hufanyia mdomoni, inategemea na makubaliano, lakini kiafya inaweza kuwa na athari. Dk Meshack Shimwela, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Ndani ya Mwili kutoka hospitali ya Amana anasema mwanamke ambaye hufanya mapenzi kinyume na maumbile huathirika na kuacha kufurahia tendo hilo kwa njia ya kawaida.

"Lakini pia, wengi hujihisi kama wamelaaniwa na wanakosa kujiamini" anasema na kuongeza kuwa hata kama anaweza kufanya kwa mkumbo, baadae hujutia hasa anapojikuta anapata athari kubwa za kiafya kuliko furaha. Dk Shimwela anasema kitendo hicho husababisha bakteria wasiohitajika kuingia katika sehemu ya haja kubwa na kuleta uambukizo.

"Eneo la haja kubwa limeumbwa kutoa na si kuingiza. Hivyo kitendo hicho husababisha uharibifu na kulegea kwa misuli" anasema

Anasema maradhi mengine ambayo hujitokeza katika sehemu ya haja kubwa pindi mtu anapofanya mapenzi kwa njia hiyo hayana tiba. Anaongeza kuwa wanawake hupata madhara wakati wa kujifungua na hatari ya kupata maambukizi ya VVU ni kubwa zaidi.

Hatari kuu Jarida la Havard la afya ya Wanawake (Havard Women Health Watch) linaeleza kuwa ufanyaji wa mapenzi kwa njia ya haja kubwa ni chanzo kikuu cha maradhi ya kuambukiza ukiwemo Ukimwi.Hii ina maana kuwa watu ambao wanafanya vitendo hivyo wana athari kubwa za kupata virusi vya Ukimwi.

Kwanini ni hatari?

Tishu zilizo katika njia ya haja kubwa ni laini na hazina maji maji, hivyo huchanika kwa urahisi wakati wa tendo na kuingiza vijidudu.
Utafiti kama huu ulifanywa nchini Marekani mwaka 2005 na kituo cha Kudhibiti Maradhi ya Kuambukiza (CDCP). Katika utafiti huo asilimia 40 ya wanaume na 35 ya wanawake wenye umri wa kuanzia miaka 25 na 44 walikiri kufanya tendo hilo kinyume na maumbile.

Wanatumia matambala kuziba kinyesi

Kuna athari kubwa za kufanya kitendo hicho, baadhi ya watu hujikuta wakivaa matambaza ili kuzuia kinyesi kisitoke kwa vile mfumo wa haja kubwa huwa umelegezwa.

Profesa wa Chuo Kikuu cha tiba cha Colombia, Judy Kuriansky anasema "Inashangaza kuona watu wanafanya mapenzi kwa njia hiyo wakidhani wanajikinga na Ukimwi, huko ni kujidanganya, ukweli ni kuwa njia hiyo ndio inayoweza kumfanya mtu kupata virusi kwa urahisi zaidi". chanzo.


Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile - mwanzo - mwananchi.co.tz
Kuna ndugu mmoja alikuwa na tabia chafusana kwa wanachuo kisa kuwapa maksi za bure sasa wkt huu ni mzee hawez tena watoto wake wa kike wanachofanyiwa na vijana mpaka anapata wazimu lkn kasahau ujinga aliokuwa anaufanya kwa watoto wa wenzake kumbuka ukifanya jambo zuri unajifanyia mwenyewe na ukifanya jambo baya uajifanyia mwenyewe jiepishena dhambi ili dhambi ikimbia hata kwa watu wa damu yako
 
Back
Top Bottom