Leo nilienda kwenye supermarket ndogo anayouza rafiki yangu maeneo ya mjini, nikaangalia kwenye shelf ambayo mafuta ya Durex yalikuepo, kuangalia tena mafuta ya Durex hayapo tena, wakati yalikua yamejaa kama dozen tatu hivi, nikamuuliza vipi mafuta ya Durex hamna tena au yameexpire mkayatoa, akaniambia hayapo kwasababu watu washayanunua yote, na bei ya chupa moja ndogo ya Durex silicon lube ni tsh elf 28.
Ifahamike kua matumizi ya mafuta ya Durex ni sawa na matumizi ya mafuta ya ky-jelly. Durex ni kilainishi cha kinachotumika mida ya ngono sio lotion wala perfume..
Hii inaonesha mtaani hali ni mbaya, wadada wanapeleka midume kwa mpalange mbaya kabisa baada ya miaka 50 nahisi asilimia 56 ya wadada watakua wanavaa pampers za watu wazima. dooh