Bin Faza
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 502
- 191
Bwana Kashanga,
Kwa mawazo yangu binafsi, tatizo hilo la wanaoamuwa kujifanyia mapenzi ya hapa na pale kuchaaguwa kuliwatiana ni nusu tu ya tatizo zima linaloikabili jamii.
mimi ningependa wasomi wanaofanya tafiti kama hizo wasingechukuwa mambo kijuu juu tu, kwani kuna umuhimu mkubwa wa kujuwa athari za wanawake wanaoliwatiwa na uwezo wao wa kuzaa.
Kila Dokta mzalishaji anajuwa wazi kwamba wanawake wanaotumia njia ya nyuma kwa starehe ikifika ule wakati wa kuzaa wanashindwa kufikia kiurahisi kile kitendo kiitwacho 'PUSH', yaani nguvu zao za kiuno zinakuwa hafifu sana.
Kwa mtazamao wangu, kitendo hicho cha kuliwatiana kinaongezeka sababu sasa wanaofanya mapenzi wanaona dozi ya raha kwa kufanya mbele imekuwa ndogo,kwahivo wanahisi ili raha iongezeke zaidi wanahitajia kuongeza dozi mbele + nyuma
Ningependa kuwaomba wanatafiti wachunguze idadi ya watanzania wanaofanya mapenzi kabla ya ndoa kuanzi wenye umri wa miaka 15 na wanaofanya mapenzi nje ya ndoa zao?
Tatizo la jamii nihiki kitendo kizima cha kufanya mapenzi kabla ya ndoa na wengine kufanya mapenzi na watu wengine bighairi ya wake/waume zao...nje ya ndoa zao.
Ahsante