Kwanini Wanawake Wengi wa Kiafrika wanapenda kuvaa mawigi?

mediaman

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2011
Posts
451
Reaction score
688
Naomba kupata sababu kama kumi kwanini Wanawake/wasichana wengi wa kiafrika wanapenda kuvaa mawigi siku hizi?

Sababu moja tu kubwa niliyoisikia kutoka kwa wanawake ni kwamba wanadai wakivaa mawigi ndio wanapendeza. Mawigi ninayoyaona mengi ni ya nywele zinazofanana na nywele au mitindo ya nywele za wazungu. Kama sababu yao kubwa ndiyo hiyo ina maana wazungu tu ndio wanaopendeza?

Elimu ni bahari, naombeni majibu ya kina, Wakuu.
 
Tumerithi kutoka kwa watawala/wakoloni mambo mengi kuanzia mavazi+mitindo ya nywele na maisha kiujumla.kiufupi tumesahau asili tunataka ukisasa ,technology nayo inatubadilisha kwa kasi hizi TV /social media ndio zimetuteremshia huku kwenye ili bonde
 
Kwasababu wanataka kufanana na wazungu wanao wazungumzia
 
Kwasababu wanataka kufanana na wazungu wanao wazungumzia
 
Kwa sababu hawana akili na hawajiamini jinsi walivyo kichwani.
Unajua ni yule tu asiye na akili kichwani atavaa wigi, kucha, tako bandia, maziwa bandia, kitunisha papuchi bandia juu ya mwili wake na akatoka nje akijidai kapendeza.
 
leo ni meshangaa kuona uzi wako bila kutanguliza vifungu vya bibilia .ila unavoongea lazima kuna mtu hata kuja na vifungu
 
Duh
 
leo ni meshangaa kuona uzi wako bila kutanguliza vifungu vya bibilia .ila unavoongea lazima kuna mtu hata kuja na vifungu
Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati wa vifungu, mafungu, mfungo, vifungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…