Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

Waambie waache kwanza kupiga mizinga waache dharau waache ujuaji wawe wanyenyekevu kwa wanaume
 
Wapi utafiti na ushahidi? Mbona kila siku zinafungwa ndoa? Ni wanawake wapi na wa wapi hao wasioolewa wakati kama ni nchini wanaolewa kila kikucha kiasi cha idadi ya watoto kuongezeka nchini kila mwaka?
 
Unataka uaminishwe vipi kuwa wanawake hawaolewi siku hizi angalia kwanza idadi ya single mother inavyozidi kuongezeka kila siku
 
Hizi harusi za kila siku ni wanaume wanaoana?
 
Hawaolewi kwasababu idadi ya Wanaume inazidi kupungua kila iitwapo leo.
 
Gender balance movements zimegeuza mwanamke kua mwanaume mentaly so hakuna mwanaume atataka kumweka ndani mwanaume mwenzie, so hao unaona hawajaolewa sio wanawake ni wanaume wenzetu
wazoefu wanasema wanawake wasomi wanasumbua sana kwenye ndoa
 
Wapi utafiti na ushahidi? Mbona kila siku zinafungwa ndoa? Ni wanawake wapi na wa wapi hao wasioolewa wakati kama ni nchini wanaolewa kila kikucha kiasi cha idadi ya watoto kuongezeka nchini kila mwaka?
Kuongezeka kwa idadi ya watoto haimaanishi wameolewa, mbona wanawake kibao wanawatoto lakini hawajaolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…