King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,002
- 675
Hawa walio jaa mijini wametoka vijijini mkuu, hapo ushajua tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mdada wa namna hiyo ukiwa unamnyoa vuz.i lazima mkono mmoja utumike kama jeki unanyanyua tumbo halafu mwingine ndio unanyoa,khatari..!
Hahaaaa sasa anavaaje magauni jamani, mwambie afanye mazoezi sipendi kitambi yaniTumeshazoea mkuu,mimi huwa nafanya kwa awamu mbili.
Awamu ya kwanza nanyoa shavu moja naweka wembe pembeni kisha nagegeda na wakati navuta pumzi namalizia la mwisho.
Hivyo vitambi ulivyoona baadhi yao sio vitambi vya afya.Wakuu heshima kwenu
Katika mizunguko yangu nimekuwa nikienda vijijini mara kwa mara lakini karibu Wanawake wote (pengine wote) wa vijijini si wazuri wa sura wala maumbo (mfano vitambi vingi sana kwa Wanawake wa vijijini)
Kwahiyo wakuu naomba kujuzwa kama kuna sababu yoyote ya kisayansi au Kijamii kuhusiana na hali hii
Natanguliza shukrani kwa majibu yenu mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sijui kama kuna vitambi (obesity) vya afya, sasa leo ndio nikejua.Hivyo vitambi ulivyoona baadhi yao sio vitambi vya afya.
Naomba niishie hapo tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndyo umeandka ukweli!Ugumu wa maisha, kazi ngumu plus kujifungua kwa kufululiza bila matunzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalinganisha natural beautiful rural women na artificial carrolight urban women? Rural women with difficulty working in sunny environment? Ending up in fetching water and firewood for family wellbeing? With those hardships and others she must must feed heavily. Do you expect her to have a flat stomach or belly? Respect to Rural women who feed artificial urban people. Ninaomba Wizara ya Elimu irudishe Debate in schools where some brains will discuss simple and challenging matters.Wakuu heshima kwenu
Katika mizunguko yangu nimekuwa nikienda vijijini mara kwa mara lakini karibu Wanawake wote (pengine wote) wa vijijini si wazuri wa sura wala maumbo (mfano vitambi vingi sana kwa Wanawake wa vijijini)
Kwahiyo wakuu naomba kujuzwa kama kuna sababu yoyote ya kisayansi au Kijamii kuhusiana na hali hii
Natanguliza shukrani kwa majibu yenu mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
HaleluyahHawana matunzo mpe matunzo utamuogopa mifano hai house girl