kweli hiyo sijaona bado,ila sijui inamhusu vipi physicologicalNikiwa nina mimba mume wangu anatapika wakati mimi niko fresh. Tukienda kwa madokta wanasema anakuwa affected kisaikolojia wala haina uhusiano na mimba yangu. Wazee wao wanasema sijuhi mkeo akikuruka toka kitandani basi unabeba karaa zake za mimba. I have two kids with similar experience. It is so fun. Imeshawahi kuwatokea any of you? Mme wangu hataki kusikia tena maswala ya another kid maanake cha moto anakiona.
Hii kali, tabu nazopataga akipata yeye sidhani kama atakaa hata kwa siku mbilinyumba kubwa;Nikiwa nina mimba mume wangu anatapika wakati mimi niko fresh. Tukienda kwa madokta wanasema anakuwa affected kisaikolojia wala haina uhusiano na mimba yangu. Wazee wao wanasema sijuhi mkeo akikuruka toka kitandani basi unabeba karaa zake za mimba. I have two kids with similar experience. It is so fun. Imeshawahi kuwatokea any of you? Mme wangu hataki kusikia tena maswala ya another kid maanake cha moto anakiona.
Wife kiwa mjamzito miezi 3-4 ya Mwanzo mimi kichefuchefu kwa kwenda mbele. Baada ya hapo nakuwa sawa. Sijui kwa kweli kuna uhusiano gani wa mwanaume kujisikia hovyo wakati mimba amebeba mwanamke.
Huu msemo wa mimba si ugonjwa wanaupenda sana watu wasiopenda ku care wenza wao pale wanapo conceive. I wish mimba ingekuwa inabebwa kwa kupokezana ili watu waongee kwa experience si kwa kufikiri tu.