nyumba kubwa;Nikiwa nina mimba mume wangu anatapika wakati mimi niko fresh. Tukienda kwa madokta wanasema anakuwa affected kisaikolojia wala haina uhusiano na mimba yangu. Wazee wao wanasema sijuhi mkeo akikuruka toka kitandani basi unabeba karaa zake za mimba. I have two kids with similar experience. It is so fun. Imeshawahi kuwatokea any of you? Mme wangu hataki kusikia tena maswala ya another kid maanake cha moto anakiona.
Wife kiwa mjamzito miezi 3-4 ya Mwanzo mimi kichefuchefu kwa kwenda mbele. Baada ya hapo nakuwa sawa. Sijui kwa kweli kuna uhusiano gani wa mwanaume kujisikia hovyo wakati mimba amebeba mwanamke.