Kwanini Wanawake wengi wanaona ufahari kuongozana na wanaume warefu

Kwanini Wanawake wengi wanaona ufahari kuongozana na wanaume warefu

Akiwa wa kawaida siyo mbaya, siyo lazima awe pisi kali, kikubwa heshima, akiwa mrefu kunipita ni sawa, chura sina haja nalo sili kisamvu mimi, akiwa flat au kawaida siyo mbaya, awe na chura asiwe nalo hakuna shida.
Ila nyie sasa machaguzi kibaoooo.
Tamthilia hizo hizo huko kwenye Tv, Netlfix series na kadhalika....
Ni mtizamo wangu tu , tamthiliya zipi zinazoonesha wakaka warefu hadi zitudanganye?.

Wewe hauna kigezo unachopenda kwa mdada mfano rangi, chura, sura? Tusidanganyane bana.
 
Akiwa wa kawaida siyo mbaya, siyo lazima awe pisi kali, kikubwa heshima, akiwa mrefu kunipita ni sawa, chura sina haja nalo sili kisamvu mimi, akiwa flat au kawaida siyo mbaya, awe na chura asiwe nalo hakuna shida.
Ila nyie sasa machaguzi kibaoooo.
Tamthilia hizo hizo huko kwenye Tv, Netlfix series na kadhalika....
Sasa hayo machaguzi kibao ni yapi wakati hapa inaongelewa urefu? Kila mtu ana kakitu anakowish kawepo bana
 
Wao Wenyewe Hawajui Wanachokitaka Wewe Unataka Ujue Ili Iweje?
 
Wanaume wafupi wanawivu jamani yaani alafu ukute ana macho madogo ndio balaa zaidi, kwanza hawajabarikiwa mvuto na mambo mengine
 
Back
Top Bottom