Kwanini wanawake wengi wanapenda chupi nyeupe au chupi za pink?

Kitambo nilienda vijiji flani Iringa huko nikapiga game moja na mwanakijiji wa huko kucheki hana chup nikatoa macho. Kumuuliza akasema chup kavaa dada kaenda nayo njombe. Nilicheka balaa
Hahahaaa hii kali asee.
 
Hajajibu hata mmoja inawezekana wamebadili rangi Ama hawavai kabisa
 
Nahisi watengenezaji wa hizo mambo wamewajengea kuzipenda, maana hata mimi akiniagiza nikamnunulie nikienda dukani nakuta rangi hizo ni nyingi kuliko zingine kwahyo unajikuta unanunua tu,

pia ni ishara ya USAFI, mimi nikiona msichana kavaa nyeusi aiseee namuogopa,

pia hizo rangi zinaleta hamu fulani hivi ya kumwangalia akiwa amevaa...SEXY.

NB: hayo majibu kulingana na mm na shemeji/wifi yenu.
Kweli kabisa zinaleta zinaleta hisia zaidi kwa mwanaume, kuhusu nyeusi duuuh hakika hazina msisimko wa kihisia
 
Mimi naona rangi ya chupi inaendana na rangi ya demu maana demu kama n mweusi akavaa nyeupe unaweza kuona kama jini ila Mweupe akivaa nyeupe angalau inavutia kdg, lakini pia rangi ya chupi nyeupe huwa wanavaaga wanapojua kwamba wanaenda kugegedwa lah sivyo ukimkuta ukimkuta Kwenye mishe zake utaona kapigilia kichupi cheusi halafu kichafu hatari au hata pia kipensi cha jinsi
 
Unachungulia sana...

inaonekana ukiona mwanamke unawaza atakuwa kavaa chupi ya rangi gani...

cc: mahondaw
 
Kitambo nilienda vijiji flani Iringa huko nikapiga game moja na mwanakijiji wa huko kucheki hana chup nikatoa macho. Kumuuliza akasema chup kavaa dada kaenda nayo njombe. Nilicheka balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitambo nilienda vijiji flani Iringa huko nikapiga game moja na mwanakijiji wa huko kucheki hana chup nikatoa macho. Kumuuliza akasema chup kavaa dada kaenda nayo njombe. Nilicheka balaa
Hahahahahaahhaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi naona rangi ya chupi inaendana na rangi ya demu maana demu kama n mweusi akavaa nyeupe unaweza kuona kama jini ila Mweupe akivaa nyeupe angalau inavutia kdg, lakini pia rangi ya chupi nyeupe huwa wanavaaga wanapojua kwamba wanaenda kugegedwa lah sivyo ukimkuta ukimkuta Kwenye mishe zake utaona kapigilia kichupi cheusi halafu kichafu hatari au hata pia kipensi cha jinsi
Uuuuwiiii mbavu zangu
 
Back
Top Bottom