Kwanini wanawake wengi wanapenda kuwa na masusiano na Deejays

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Jamani mimi nina swali kwa wanawake, hadi leo sijajua ni kwanini wanawake wengi wanapenda sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ma deejays hata kama anafahamu ya kuwa yule deejay ana mpenzi wake
 
Kuna madeeyays wangapi tanzania?
 
vile anavyosugua kisahani CD,napata picha kuwa nami atakigusua changu hivohivo
 
wanawake wa aina gani unafikiri ama ni wote?
 
Hebu jifikirishe zaidi usipende kukaa eneo moja sana.Tembea sehemu aina aina ujionee.Dunia ni pana haina d/jokers pekee!
 
Kwa sababu ukienda kazini usiku nayeye anaingiza mchepuko
 
Hivi unajua %98 ya wanawake ni Wahaya yaani wanapenda sifa ,kuonekana mbelle za watu kutajwa na kadhalika so thatsy wanapenda pia wasanii na watu maarufu
 
Na mamako ni mwizi siyo tengua kauli yako!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na mamako ni mwizi siyo tengua kauli yako!!

Sent from my iPhone using JamiiForums

SITENGUI (with capital letters)
Mamaangu alimlimbwata Babaangu Baba akamwandikia mashamba mawili , banga 3 na Fuso 2 , Baada Baba kufa My Mum kaolewa na Baba mpya na ndy alae mafruti ya mali .
Ipo tetesi kifo cha Baba kina mkono wa Mama!
 
Pole sana mkuu, kesi kama hizo unaweza kujikuta unaua mtu bila kukusudia.
 
Jamani mimi nina swali kwa wanawake, hadi leo sijajua ni kwanini wanawake wengi wanapenda sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ma deejays hata kama anafahamu ya kuwa yule deejay ana mpenzi wake

Kumbe tupo wengi mkuu.. I have experienced this thing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…