deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Jamani mimi nina swali kwa wanawake, hadi leo sijajua ni kwanini wanawake wengi wanapenda sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ma deejays hata kama anafahamu ya kuwa yule deejay ana mpenzi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati na Wewe chako kinascrach pia?vile anavyosugua kisahani CD,napata picha kuwa nami atakigusua changu hivohivo
Na mamako ni mwizi siyo tengua kauli yako!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
SITENGUI (with capital letters)
Mamaangu alimlimbwata Babaangu Baba akamwandikia mashamba mawili , banga 3 na Fuso 2 , Baada Baba kufa My Mum kaolewa na Baba mpya na ndy alae mafruti ya mali .
Ipo tetesi kifo cha Baba kina mkono wa Mama!
Jamani mimi nina swali kwa wanawake, hadi leo sijajua ni kwanini wanawake wengi wanapenda sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ma deejays hata kama anafahamu ya kuwa yule deejay ana mpenzi wake
Kumbe tupo wengi mkuu.. I have experienced this thing
aiseeevile anavyosugua kisahani CD,napata picha kuwa nami atakigusua changu hivohivo