Kwanini wanawake wengi wanapendelea kunywa soda ya pepsi

Ukitaka kujua sio kwamba wanapenda, hebu jaribu kumtoa mmoja outing uone km ataagiza Pepsi
 
Me nipo tofauti.
Pepsi kwakweli hapana siipendi kutoka moyoni.
 
Mie niko kinyume kabisaaa.

Yaani siku ambayo nitakunywa soda basi ujue bila Fanta passion au Fanta pinapple basi kiu cha soda hakitakwisha.
Usikute wewe ni damu moja na Mimi????[emoji4] [emoji4] [emoji4] mi mwenyewe nazipenda sn hizo soda hasa hasa passion
 
Usikute wewe ni damu moja na Mimi????[emoji4] [emoji4] [emoji4] mi mwenyewe nazipenda sn hizo soda hasa hasa passion
Hahaaa. Itakuwa hivyo ujue mdogo wangu sababu sio bure. Da Emmy wako ndio huyu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaa. Itakuwa hivyo ujue mdogo wangu sababu sio bure. Da Emmy wako ndio huyu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mm nahisii but damu nzito kuliko maji km ndiyo we halisi nitajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…