goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
- Thread starter
- #141
Mkuu sio poa,haina mbwembwe nyingi za sukari mdomoni kama coca
Maana mm pasipo kunywa coca cola 2 | 3 kwa siku sijisikii raha....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio poa,haina mbwembwe nyingi za sukari mdomoni kama coca
Sawa Dr. Numbisa ahsante kwa kumrekebisha Dada yetu hapo....Mkuu hakunaga nguvu za kike bali kuna ukosefu wa hamu ya tendo kwa wanawake
Sawa Dr. Numbisa ahsante kwa kumrekebisha Dada yetu hapo....Mkuu hakunaga nguvu za kike bali kuna ukosefu wa hamu ya tendo kwa wanawake
Dr. Numbisa bora wewe mimi siwezi kunywa soda nyingine zaidi ya coca cola,Nakunywa soda yoyote kasoro krest na sparletta
Dr. Numbisa bora wewe mimi siwezi kunywa soda nyingine zaidi ya coca cola,Nakunywa soda yoyote kasoro krest na sparletta
Wanaokunywa ni walioolewa | wasioolewa kifupi ni wote wanawake ila kwa asilimia kadhaa sio wote naweza kukadiria kwa 70% asilimia, Pepsi imekuwa kiburudisho kwao je sababu ni nini.....??Katika Uchunguzi wako Ulijiuliza Je, hao wanaokunywa ni Wake za Watu, Au wameolewa au Wadada tu wasiona mahusiano au Waakunywa kama option pekee iliyopo kwenye mgahawa huo au wanakunywa kwa kuwa mwenza wako amepropose wanywe pepsi.. Je uliwafuatilia hata wanapohama Migahwa wanakunywa hiyo hiyo ... Je vipi Bei nayo ulifanya ulinganifu..
Ni kweli lakini kiwandani pia hawapo makini hizo ni itilafu zinatokea tu,Mie niliichukia tangia nione siku moja dada mmoja from ZNZ tukiwa Chuo aliagiza pepsi akawa anakunywa lakini kukawa kuna kitu kigumu kigumu akadhani ni bonge la barafu labda kinywaji kimeganda, kufika mwisho mwisho kumbe ni mende tena yule mkubwa wa chooni!!!! tokea hapo sinywi wala coca wala soda yoyote yenye u brown au weusi, nakunywa sprite ili nione vyema ndani ya chupa kilichomo!!!!
Hahahaaa bar tender.Huku Kimara Stop Over wengi wanapenda Ngumu Kumeza, Kitu mixer Jiki, Amira, shilingi za matobo n.k
Nadhani utafiti wako ulibalance eneo moja tu kama ulivyo wangu.
Enzi zile ukimletea Pepsi | mirinda unatukanwa kweli utasikia nataka castle lite, savannah, lakini kwa sasa ni pepsi mwanzo mwisho.Na koka bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Magu kazia hapohapo
Nimekamatia kabisa beibi[emoji39] [emoji182] [emoji182] [emoji182] haya beibi nichike hapaaaa[emoji160] [emoji160] [emoji125]
[emoji18] [emoji18] [emoji18] naifili mpk kumoyooo DarlingNimekamatia kabisa beibi
Ongeza viuno bashasha hivyo![emoji18] [emoji18] [emoji18] naifili mpk kumoyooo Darling
😳Siyo pepsi tuu hata kuvaa shanga tunapenda
Duuu!Ongeza viuno bashasha hivyo!
Inatosha mpenzi utanitoa roho mtt wa mwanamme mwenzio, maana siyo kwa kwata hizi[emoji119]Ongeza viuno bashasha hivyo!
Sawa mama nakupa upendachoInatosha mpenzi utanitoa roho mtt wa mwanamme mwenzio, maana siyo kwa kwata hizi[emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji182]Sawa mama nakupa upendacho