Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
halafu tangu uchumba hawakujua kuwa waume zao ni wavivu? je ni tabia gani walizokuwa wanazichunguza kwa waume wao?kama mke anajua mumewe mvivu, yeye amefanya nini kukwamua familia?
ndugu yangu kaniletea malalamiko, eti mkewe anamtuhumu kuwa kipato dunkinatokana na uzembe wa huyo mwanamume, maana hataki kuhama kwa mwajiri wake wa sasa na kutafuta kazi sehemu nyingine.
Jamaa alipo peleka malalamiko hayo kwa mfanyakazi mwenzake, akamwambia, mbona na mimi mke wangu ananiambia hivyohivyo tu.
Jamaa akaamua aje kuniuliza mimi, nami nimeamua nije kuuliza hapa jamvini.i
Labda hao wake zao wanawafananisha na wanaume wengine...........!!!!