Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

bohemian

Senior Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
103
Reaction score
86
Katika pitapita zangu nimegundua kuwa wanawake wanaotokea kuwa na ndevu huwa hawazinyoi kabisa hata zikirefuka vipi, tofauti na sisi wanaume ambao wengi wetu hatutaki kuziona zikitokea tu zimenyolewa, ndio nauliza ni kwanini? Au mnatuonea wivu?
ec1a6e662552fb18781bc7e3aaba6d2d.jpg
 
Sasa mkuu km wangekua wananyoa zikichomoza tuu ungejuaje km wana ndevu? na Wakianza kunyoa ndo mwanzo wa kua na videvu vigumu km Tupa, sasa mkuu huyo Utaoa?
 
Naskia kuna kasumba kua ukioa mwanamke mweny ndevu unapata baraka ya ndoa sijui kweli,..!?
 
Mandevu yana washa sana kwa mwanaume pia ni kama uchafu
Kwa akina dada ni hormone disorder na inherited
Ila sijui kwanini hawanyoi fanye research kwa wanawake kumi ndo urudi huku kutafuta maoni otherwise huu utafiti wako ni dhaifu sana
 
Wakizinyoa zikiota tena zinakuwa nyingi zaidi ya za mwanzo.
 
Teh ungejaribu kuwauliza mkuu ungepata majibu sahihi zaidi
Sijui n'nani katuaminisha kuwa humu ndiyo kuna majibu ya maswali yote.Swali dogo tu, hata mtu hafanyi tafiti.

Somehow, we are going to lost.
 
Katika pitapita zangu nimegundua kuwa wanawake wanaotokea kuwa na ndevu huwa hawazinyoi kabisa hata zikirefuka vipi, tofauti na sisi wanaume ambao wengi wetu hatutaki kuziona zikitokea tu zimenyolewa, ndio nauliza ni kwanini? Au mnatuonea wivu?
ec1a6e662552fb18781bc7e3aaba6d2d.jpg
Ngoja waje wahusika wenyewe.
 
Back
Top Bottom