Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

Tundevu twenyewe tuwili tuhangaike nini kuonyoa. Mimi huwa nazivuta hadi zinakatika.
 
Sijui n'nani katuaminisha kuwa humu ndiyo kuna majibu ya maswali yote.Swali dogo tu, hata mtu hafanyi tafiti.

Somehow, we are going to lost.
Utafiti niufanyie wapi, mkeo ana ndevu nianze nae?
 
Wana kismati cha hela angali walio oa hao wenye ndevu hali zao kiuchumi zipoje!!
 
Ndevu za mwanamke ni ishara ya utajiri
 
Ngoja nikamuulize Msemaji wa "Geshi la Poli" kwenye Tanzanian,KWA NINI HANYOI.....Jee??
(in Braza K's Voice)
 
Back
Top Bottom