Kwanini wanawake wenye waume wafanyabiashara huwa wana uchungu sana na hela kuliko mwenye mali?

ndonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
894
Reaction score
1,635
Za jioni wapendwa katika bwana.

Samahanini kama ntawakwaza akina mama/dada/bibi waliomo humu.

Scenario1.
Unakuta baba ana biashara kubwa hiki na kile.. unakuta mama labda nae anapita pita kwenye biashara/investments hizo.. kumbuka. Huyu mama hana mchanho wowote zaid ya ku play part kama mama.. ila unakuta ana uchungu saaana na mali na hela ya huyu baba.. unakuta hata mzee kusaidia wafanya kaz anasaidia kisir sir mkewe asijue... Mama ni mgumu kinoma
Hiv kwann

2.
Mama mwenye nyumba. Kumbuka mjengo 100% kajenga mzee bila hata sent ya mama.. mama ana play part kama mke tu.. ila sasa kwenye kudai kodi.. mama ni kama simba.. hiv ni kwann

3.wafanya kaz wa ndan.. unakuta baba wew ndo unaelipa mshahara huyu dada.. ila utaskia mama anamwambia dada ngoha nikuwekee.. mwisho wa siku dada anadhurumiwa pesa yake na ugomvi mwisho wa siku anafukuzwa

4.unakuta una familia umejenga unaishi na mkeo na watoto..ila mkeo hapend kabisa ndugu zako waje hapo hata kulala kwa week 1 ...hajui yeye kakutana na baba ukubwan..ila ndugu wamekua na baba toka watoto had watu wazima wamecheza wote. Unakuta mama hata marafik wa baba hatak wasogee sogee nyumban.
Huu uchungu wa mali na ubinafsi mnautoa wap

5.chunguza sana .mkiwa baa..au sehem za stareh..mama/dem ambae hatoi hata 100 kwenye bill..yeye ndo huwa anacontrol meza..kama ni wahudum bas yeye ndo atawaita atawakosoa..nyama mbona haijaiva..bia mbona zamoto etc...why why why...wanawake..kumbuka hatoi hata 100 kwenye bill

6.scenario ni nying .mno

Hawa ndugu zetu kwann wana tabia hii

Hiv unajua hata Eva pale bustanin yeye ndie alikua mshaur mkuu..ebana adamu lile tunda kula bana..unaogopa nin..mbona unapelekwa pelekwa wew umekaa kaa kindezi.unakubali kila kitu kizembe zembe.kula tunda tuone acha uoga

Haya mwisho wa siku mambo yakawa mambo.

"Shabani kaoneka, shabani kaoneka. Shabani kaoneka"

Mandonga mtu kazi.
 
Hao Wamekuwa mwili Mmoja.... Viungo vya huo mwili Wa umoja vinatenda kazi tofauti kufanikisha Lengo Moja.

Sasa Wewe jichanganye oa atakayekuwa hana Uchungu Na Mali zako Yeye ni kuzitapanya tu Uone utakavyofilisika....!
Jiwe gizani
 
Sababu wanaume wengi tunafunga ndoa baada ya kuona tuna uhakika wa kupata pesa kwanza. Na tunajua kabisa wanawake wanatukubali tuwaoe sababu wameona tuna kipato cha uhakika.
Kuna wengine wanaoana wakiwa hawana pesa
 
Za jioni wapendwa katika bwana.

Samahanini kama ntawakwaza akina mama/dada/bibi waliomo humu.

Scenario1.
Unakuta baba ana biashara kubwa hiki na kile.. unakuta mama labda nae anapita pita kwenye biashara/investments hizo.. kumbuka. Huyu mama hana mchanho wowote zaid ya ku play part kama mama.. ila unakuta ana uchungu saaana na mali na hela ya huyu baba.. unakuta hata mzee kusaidia wafanya kaz anasaidia kisir sir mkewe asijue... Mama ni mgumu kinoma
Hiv kwann

2.
Mama mwenye nyumba. Kumbuka mjengo 100% kajenga mzee bila hata sent ya mama.. mama ana play part kama mke tu.. ila sasa kwenye kudai kodi.. mama ni kama simba.. hiv ni kwann

3.wafanya kaz wa ndan.. unakuta baba wew ndo unaelipa mshahara huyu dada.. ila utaskia mama anamwambia dada ngoha nikuwekee.. mwisho wa siku dada anadhurumiwa pesa yake na ugomvi mwisho wa siku anafukuzwa

4.unakuta una familia umejenga unaishi na mkeo na watoto..ila mkeo hapend kabisa ndugu zako waje hapo hata kulala kwa week 1 ...hajui yeye kakutana na baba ukubwan..ila ndugu wamekua na baba toka watoto had watu wazima wamecheza wote. Unakuta mama hata marafik wa baba hatak wasogee sogee nyumban.
Huu uchungu wa mali na ubinafsi mnautoa wap

5.chunguza sana .mkiwa baa..au sehem za stareh..mama/dem ambae hatoi hata 100 kwenye bill..yeye ndo huwa anacontrol meza..kama ni wahudum bas yeye ndo atawaita atawakosoa..nyama mbona haijaiva..bia mbona zamoto etc...why why why...wanawake..kumbuka hatoi hata 100 kwenye bill

6.scenario ni nying .mno

Hawa ndugu zetu kwann wana tabia hii

Hiv unajua hata Eva pale bustanin yeye ndie alikua mshaur mkuu..ebana adamu lile tunda kula bana..unaogopa nin..mbona unapelekwa pelekwa wew umekaa kaa kindezi.unakubali kila kitu kizembe zembe.kula tunda tuone acha uoga

Haya mwisho wa siku mambo yakawa mambo.

"Shabani kaoneka, shabani kaoneka. Shabani kaoneka"

Mandonga mtu kazi.
Anajua ataua baba na pesa zitakuwa zake na watoto waliopata kwa wanaume wengine ila majina ya baba, anakuwa mkali maana soon zinakuwa zake.
 
Back
Top Bottom