Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Mr wenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
1,088
Reaction score
1,667
Habari za muda huu wana JF wenzangu.
Poleni kwa majukumu ya kiutafutaji wa maisha,kwa wengine hongereni kwa mapumziko mema ya sikukuu ya maadhimisho ya muungano.

Bila kupoteza wakati naomba kujua no kwanini wanawake weusi pure ndio wanaopendwa zaidi na wanaume kuanzia Afrika mpaka huko kwa wazungu?Mfano tazama picha halo chini[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Naomba kuwasilisha mada.
 
Tatizo ni kuwa demu mweusi ni OG, mana hakuna mkorogo wa kufanya mtu awe mweusi ,tofauti na demu ambaye anapaka mkorogo awe mweupe,afu weusi wanakuwa na joto la asili si unajua BLACK ina akisi JOTO..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…