Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Yeye Mungu alishamaliza kazi yake mkuu na akaniambia mwanangu nendaaaa, nikaja nikilia ila sasa nafurahia uumbaji wa Mungu ktk maisha yangu. Wewe amin tu usikatae. Usiwe kama Tomaso wa biblia

Teh teh
 
Kumradhi nitatumia lugha kali kidogo...

Mwanamke mweusi ana uke wa moto mnooo, unabana na unanata...pia wengi wao ni wapole na wataratibu, siyo vicheche...ukimpata umepata, kama ni mke wa mtu basi ujue hutamwacha hadi utafumaniwa tu penda usipende!
Mbavu zangu mie[emoji38] [emoji38] [emoji87]
 
Habari za muda huu wana JF wenzangu.
Poleni kwa majukumu ya kiutafutaji wa maisha,kwa wengine hongereni kwa mapumziko mema ya sikukuu ya maadhimisho ya muungano.

Bila kupoteza wakati naomba kujua no kwanini wanawake weusi pure ndio wanaopendwa zaidi na wanaume kuanzia Afrika mpaka huko kwa wazungu?Mfano tazama picha halo chini[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
72949d596cb52b6b385cb3a9348a45d5.jpg
a7f9a51f6fd267b86e0b7d1317734ca7.jpg

Naomba kuwasilisha mada.
Because they are real, true and strong queens ever in this world, never compared to others.... [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257]
 
Ndio mnavyojidanganya?? Ha ha ha ndio nyie mnaoamini kua mtu mweusi anapigwa au kuunguzwa na jua kuliko mweupe!!!! Ile kitu automaticaly inajoto,ndio ilivyoumbwa,,kama ulikuta ya mtu ina barid bas huyo àlikua amekata roho,ile kitu inajoto bhana hata mkiwa bafun we iguse uone inajoto Og. Watu tupo tofauti we unaweza penda kuduu kwenye barid ila mm naienjoy sana kuwe na joto kaliiii tena kusiwe hata na a/c ndo mzuka unapanda zaid
Mbona kama sikuelewi? Au naota. Kuna mahali umesema unapenda nyeupe na hapa unafagilia nyeus. Which is which. Au all are wiches
 
Shout out kwa Wanawake wote wanaojikubali na kujiheshimu.maana na amini thats the definition of real beauty.
Mtu ukiwa comfortable na confident na rangi yako iwe nyeusi,nyeupe,njano,maji ya kunde pamoja na umbo lako,uwe na makalio madogo au makubwa.. utavutia tu.Na kila mtu hawezi akaona uzuri wako,ndo ilivyo.
Kujibadilisha rangi au kujichukia havitakusaidia.Jipende(love yourself).Na jiamini.[emoji41]
Black is beautiful just as white is.
Kujipenda na kujiamin ndiyo silaha tosha. Yaan kuna wadada wanaongeza makalio, mara hips na mara weupe. Akhu mie najipenda na nilipendwa nilivyo
 
At napata jibu kwamba at at a weupe wanapendwa ila wanaume wanakua wanawaepuka kwa kuofia weupe wao Wenda ukawa no wadukan at au Wa asili ko kjnachosumbua no (uhakika Wa lang nyeupe kua in org au fke
Hv ni lugha gani imetumika. Hata sijaelewa
 
Labda unawapenda wewe peke yako ,,,,,,,,hamna wanawake ambao nawaonea kinyaa kama wanawake weusi hata kuniongelesha sipendi waniongeleshe
Kuna wakati nakaa natafakari jinsi binadamu tumetofautiana. Basi imenisaidia hata nikikutana na comments ambazo hazina mashiko kma hii naona sawa tu. Ni ule utofauti wetu wa kufikiri
 
Write your reply...wako gud xana...kuliko wanaojichubuaaa,,,,,ila wale weupe natural ni wazuri zaidiii
 
Back
Top Bottom