Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Mungu hajapendelea, kila mmoja na uzuri wake, kuna unaoonekana na uliojificha. Ukiona mwanamke hana mvuto ktk sura bac huyo kuna kitu special ndn yake, ingia ukitafute. I love my look and I love my self [emoji8]
 
Yaani mimi mwenyewe ndo muumini Mkubwa wa madem weusi.. Nikiwaona napagawa kbs, na ham nje nje,... Hao weupe itokee tu, lakini siwezi furahia kbs.
Basi tunatofautiana sana..mi demu akiwa mweusi basi siwezi kuwa naye labda nitapita tu...
 
Wakuu kuna hii picha ya lidudu lina macho inaniogopesha sana. Kila nikiingia jamiiforum naikuta, yani mwili unasisimka sana

Yani naogopa ata kuingia jf sababu ya iyo picha, sielewi kwa nini
 
Vice versa is true

Wanawake weusi wanapendwa na wazungu huko
Ila wa kiafrica wengi wanapenda weupe

Tena rangi nyeusi kwa nchi kama Korea huko hazikubaliki kabisa
Joanah
Unaongelea Korea gani?
Watu weusi ambao hawakubaliki NI wale ambao HAWAJIKUBALI WENYEWE.Sio Korea tu ila kila mahali.Ukijikubali utakubaliwa.
 
Wakuu kuna hii picha ya lidudu lina macho inaniogopesha sana. Kila nikiingia jamiiforum naikuta, yani mwili unasisimka sana

Yani naogopa ata kuingia jf sababu ya iyo picha, sielewi kwa nini
Me pia sijui
 
Tatizo kubwa sana ni kwamba wengi wa wanawake wenye rangi nyeusi huwa HAWAJIKUBALI kabisa.
Yaani kwa sababu ya rangi yao wanajihisi hawavutii, hawajiamini na wanaishia kujidharau.

Lakini kiuhalisia kabisa msichana mwenye rangi nyeusi ni Mzuri sana. So attractive.
Am black... tena ule wa kung'aa.. Kwangu mimi, skin yangu ndio the most sexiest part of my body. Wasiojikubali, hawaielewi tu thamani yao
 
Back
Top Bottom