At napata jibu kwamba at at a weupe wanapendwa ila wanaume wanakua wanawaepuka kwa kuofia weupe wao Wenda ukawa no wadukan at au Wa asili ko kjnachosumbua no (uhakika Wa lang nyeupe kua in org au fkeRangi yoyote huwa inapendeza cha msingi isiwe fake(ya dukani)...
Wanapendwa wengi weusi coz hakuna weusi wa dukani ila weupe ndo upo wa dukani
Kwa sababu [HASHTAG]#uweusi[/HASHTAG] ni rangi yenye uharisia wa kipekee ukipuuzia mbali uweupe wa [HASHTAG]#madukani[/HASHTAG]Habari za muda huu wana JF wenzangu.
Poleni kwa majukumu ya kiutafutaji wa maisha,kwa wengine hongereni kwa mapumziko mema ya sikukuu ya maadhimisho ya muungano.
Bila kupoteza wakati naomba kujua no kwanini wanawake weusi pure ndio wanaopendwa zaidi na wanaume kuanzia Afrika mpaka huko kwa wazungu?Mfano tazama picha halo chini[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
![]()
![]()
Naomba kuwasilisha mada.
Ushindani si mkubwa...hasa huku usukumani.
Mahondwa amekuroga wewe sio bure, kila ukikoment lazima umtaje Mahondwa.Ni mtazamo tu.. Kila mtu ana taste yake... Wapo wanapenda sana weupe.. Wapo wanaopena sana weusi...
Siyo tu the beautify is the eyes of the beholder bali the beauty is the heart of the beholder as well..
Haijalishi if you are pink, purple, blue, yellow black or white...
Like i love my mahondaw the way she is...
Cc: mahondaw