Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Mnatujaza weusi, kwakweli kujikubal kwetu kutembea na rang zetu ndo uzur unaonekana...lakin weupe wa asil wanapendwa zaid naona rafik zangu wanavotongozwa hatari weus mpaka mtu akija ujue yaan amekutizama mudaa na amechuja hasa akauona uzur wako...
 
Go East , Go West , mtoto wa kike mweupe ana soko kuliko mweusi. (Hapa nazungumzia weupe wa asili, sio ule wa make up au wa dukani)

Mind you sio kila black ni beauty.

Vilevile mtoto wa kike mweupe hata akiwa ugly , rangi yake inaweza kumbeba. Lakini akiwa mweusi kama mimi, hapo mtakimbiana.
 
Wanatunza joto ktk miili yao na wakianza kazi hawana masihara.
Siyo cheaters.
Wengi tunapenda vyakula vya asili siyo vyenye viungo vingi hadi ladha inapotea.
65c3fa46ba9a62a01555e0e7fdcd1466.jpg
Like yangu nimeitoa kwa huyo dada kwenye picha mkuu, si kwa comment yako
 
Back
Top Bottom