Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Naongezea hasa wale wa Karagwe kwa huku kanda ya ziwa, wana weusi flani na shape flani flani kama za nchi jirani
 
Choooooooo[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Hapa tutaongopeana tu, wanaume tungekua tunapenda sana wanawake weusi wanawake wasingejichubua!
Kusema ukweli kwa africa wanaume wengi wanapenda wanawake weupe. Mm shahidi kbsaaa nimeona na nimefanya ka utafiti kidogo. Umesema kweli kbsa maana wanawake wengi na kama sio wote hufanya jambo kumpendezesha mwanaume. Wachache kufanya kwa ajili yao wenyewe. Hata demu kabla ya kuwa na boyfriend anawez kuwa na gagulo 2 au 3 ila akishapata boyfriend aweza kuwa na dozen tena nyeupe tu. Tusijidanganye bhana ingekuwa wanaume wanapenda weuzi mikorogo isingepata soko.
Mwenyewe mm mweusi na napenda tu kuwa kama nilivyo kwa kuwa Mungu alikuwa na kusudi kuniumba mweusi
 
Mwanamke mweupe wa asili mwenye naturally smoth texture ,sexy figure acha kabisa aise weka mbali na watoto, Anangaa kama taa, unatembea naye huku makofidence kibao
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ina maana sisi weusi ukitembea nasi no confidence eeeh
 
Hao wanaotumia mkorogo hawajitambui na pia wana dhana potofu kwamba ili kuonekana mzuri ni lazima uwe mweupe. Black is always very Beautiful.

 
In short hata mwanamme mweusi anamvuto isee yani mwanaume mweusi ndio ugonjwa wa wanawake wengi kitu black acha tu
 
Hao wanaotumia mkorogo hawajitambui na pia wana dhana potofu kwamba ili kuonekana mzuri ni lazima uwe mweupe. Black is always very Beautiful.
Kama ninavyoambiwa na mpnz wangu, ati jje's nakupendaaaa, nataman nikutongoze tena!!!! Duuuh kweli ukijikubali unakubalika
 
Reactions: BAK
Picha please! Tukuone Mungu alivyokuumba na ukaumbika.

Kama ninavyoambiwa na mpnz wangu, ati jje's nakupendaaaa, nataman nikutongoze tena!!!! Duuuh kweli ukijikubali unakubalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…