Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kk umenena, haina maana kufanya vitu visivyompa Mungu utukufu. Tujitaidi kufanya mapenzi kwa njia ya asili kwani tofauti ya hapo ni kujitakia usodoma na ugomora maishani mwetu na kwa Taifa letu[emoji4]
 
POLE BEST ila Njoo Inbox tunaweza kucheza huo mchezo hivyo kuwa na Aman tuu.
Kama umeUmis kweli na unaham yakufanya tuchekiane Inbox kwa Ufanisi zaid maana hata miye nilifiwa na Mke kwa Ajali ya Boda boda hivyo nami nimemis pia Nahis twaweza kupeana raha ukizingatia TUNA EXPERIENCE...
 
besti,wacha ibaki fantasy tu.....

usije ukalegeza misuli ya pale eneo....

ukaaibika ukienda labour....
 
Kila mwanaume ninayempata namkifu mapema , kumbe umeolewa, asee jamaa ameokota mavi ya mbuzi akijua ni karanga
 
Asante,asipokuelewa Huyo hatoelewa tena,jicho ni Mali yake ila lina fedheha kubwa
 
Tafuta anaependa huo mchezo uendelee nae. Kwa mme wa ndoa mama unataka ndoa ivunjike. Huo ichafu hufanyika nje ya ndoa.
Kwani wewe huna dini?
 
Kumekucha, bac wanafiki na wapenda tigo watajaa humu mpaka heee yan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…