Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

wanyama huwa wanaingiliana kinyume na maumbile, kuna siku moja bata dume lilimpanda jogoo hadi jogoo akafa! Halafu kuna jamaa yangu alikuwa na mbuzi beberu ambalo lilikuwa na nyege balaa... yaani halichagui mbuzi wa kupanda; lilikuwa linapanda hata mbuzi dume wadogo wadogo.
Weweee na we unaangalia tu kiumbe anakufa bila hatia!!!
 
Nimewahi kuona kwa njiwa wakipandana kumbe madume tupu.
Pia simba dume akipandwa na simba dume mwenzie
 
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?

Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
Kwa sababu wana akili
 
Ahaa! Kumbe ndo maana wale jamaa wamebadili jina na sasa unaitwa 'yas', Kwa kuwa jina tigo sasa Lina maana nyingine kabisa.
 
Back
Top Bottom