Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Unajua Nanga mstafu haya ni mambo ya faragha na kukubaliana.... Sina tatizo na wanawake wanaojisikia kujitosheleza na kutosheleza wapenzi wao nina tatizo na vijana wa kiume waliogeuka mashoga
Yani ikitokea unamtia demu ukimpelekea nyuma hakatai na hata akikataa kuna siku atakubali tu ukimbembeleza sana na sio malaya ni dada zetu wa kawaida wengine hadi wanafunzi, ikitokea imetia wanawake 10, alafu ukachomeka kwenye tigo zaidi ya 5 wataonyesha ushirikiano mzuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?

Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje??? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
its simple its against the laws of nature thats why
 
Mimi sio kiongozi wa dini Ila mtazamo wangu ni huu ruksa kuni sahihisha.
Watu wengi sio kua wanalikana hili jambo kutokana na madhara tajwa hapo juu Bali kukanywa na vitabu vitakatifu Bila ya dini kukataa watu wangekulana kila kukicha. Ila nna haya yafuatayo ambayo ni kwa mtazamo wangu mmi
1. Tukio la sodoma na gomora lililopelekea Mungu kuwaadhibu ni kutokana na zinaa na zinaa tajwa haswa ni mapenzi ya jinsia Moja. Kwa maana iyo basi hapa tunaongelea ushoga wala hata usagaji haukongelewa zaidi sana ni tukio la ushoga.
2. Kama kwenye nafsi yako hairuhusu kufanya hiki kitu au nafsi inakusuta usifanye achana nalo kwa sababu mwisho wa siku zote ni ZINAA na kwa Mungu uzinzi ni dhambi.
3. Kwa Mungu hamna dhambi isiosameheka uwe jambaz umeuwa na Kuna mtu huko kasafisha mtaro wote ni wakosaji na mkitubu Kweli mnasamehewa.
4. Mwisho nanukuu njia halali ya tendo la ndoa ni kwenye uke ambako lengo ni kuanzisha familia kupata watoto kinyume na hapo ni matumizi tofauti na uhalisia wa tendo la ndoa. Na mkae mkijua msiseme kizazi hiki kimezidi wakati sodoma na gomora balaa lake hata wa sasa kuna afadhari lile lilikua vibe lingine mtu akiona tako tu ndo basi tena mpaka wakatufukuzia malaika wale maboya.
Ni hayo tu lengo ni kuelimishana kama nimekosea ruksa kurekebishwa ila haya ni mawazo yangu juu ya Sakata hili mana wengi mnafanya na mnaishia kujilaumu kuhisi umelaaniwa au dhambi iyo usamehewi kamwe ya kula tigo huku uki sahau amri ya sita imesemaje.
 
Kwasababu binadamu wanasilka na ufahamu wa kujaribu Kila Jambo tofauti na wanyama
 
Mbuzi na mbwa wanaingiliana dume kwa dume. Ni meshashuhudia mara kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule sio kuingiliana mkuu bali ni ile hamu unakuta mmoja kama anataka kumpanda mwenzie lakini hakuna penetration yoyote. Nimekaa sana na mbuzi miaka yangu yote mpaka leo hiyo tabia ipo ila hawaingiliani ni ile tu kusumbuana.
 
sio hawana akili, sisi binadamu ndio ha2na akili.2naacha kufuata kufuata aliyo2elekeza mungu na kutaka kujaribujaribu kila ki2
Hapana. Binadamu akili alizonazo zinamfanya awe curious kujaribu mpaka ujinga. Wanyama wengi wanaingiliana ili wazaane si kwa starehe kama binadamu.
 
Back
Top Bottom