Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Ukweli mchungu ni kuwa ameshakuharibu na hatokuoa.

Na usifikiri alifanya kwa bahati mbaya kwa sababu alikuwa amelewa,hiyo ndiyo tabia yake,alitumia udhaifu wa pombe kama kianzio cha kukufanyia huo uchafu.

Wa kubadilika sasa ni wewe. Sisi hata tuseme vipi kama hujataka kubadilika hutobadilika.

Nakushauri kwanza achana na huyo mtu kisha weka niya ya kucha huo mchezo. Tafuta wanasaikolojia watakusaidia but uwe tayari umeshaacha kufanya hicho kitendo.

Kuendelea kiwa na huyo anayekufanyia huo mchezo inamaanisha kuwa bado unaupenda.

Pole sana
 
Kama kweli umeamua kuacha inawezekana, nimewasaidia watu wapatao 5 ( jumla ni 7 ukijumlisha wafiraji me, wafirwaji me na ke, na wasagaji ke..

jambo kubwa kabisa ni ile nafsi yako inaposema basi(utayari wa wewe kuacha hilo jambo) japo itachukua muda kidogo ila inawezekana.. hili si suala la kusema unaacha sasa na kuacha hapo hapo..
 
Pole sana ila nikwambie tu siku zote usipojithamini hakuna ambaye atakuthamini.

Ikiwa umeshaona kujaribu jaribu ni tabia yako hapo inabidi ujitahidi kuiacha na pia nikushauri tu acha kabisa huo mchezo sababu unaweza jiona unapata raha ila kuna madhara makubwa ambayo utakuja kuyapata huko baadae.
 
Pole, taratib juzoeshe kuacha mwisho utaacha kabusa
 
Pole sana, kwakua umetambua kosa bado una nafasi yakutubu na kuacha!. Alafu achana nahuyo mwanaume atakupoteza
 
Nakupa pole kwa kua huyo jamaa hawezi kuoa mtu anayeliwa tigo kwahio amekuharibu na hatakuoa..pole dada.

Ukitaka kuacha kwanza achana na huyo jamaa then upate mtu mwingine ambae hana idea na hayo mambo
 

Hakuna dhambi isiyosameheka. Hata kuua. Cha msingi ni kutubu kwa kumaanisha kuacha. Pia omba Mungu akupe neema ya kuacha, baada ya kuachana na huyu mtu. Kama hutamuacha hutaweza kuacha pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…