Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kama sijaelewa vizuri unasema alipitia bahati mbaya akiwa amelewa na wewe ilikuwa Mara ya kwanza iliingiaje yote bila wewe kushituka?? Na mkaendeleza libeneke basi wewe ni mzoefu
Umeona eeeh??! Labda haikuingia yote mkuu na ndio maana akaishia kujikuta kanogewa😕
 
Hahahaha kwahiyo unadai jamaa alilewa then akajikuta ameingia huko afu na wewe ukatulia tu........ Basi sawaaaa
Ujue Mkuu hata mie nimejikuta nawaza kwa sauti halafu nikakosa jibu.

Nimemuelewa sana pale aliposema toka aanze Chuo amekuwa na tabia ya kujaribu jaribu vitu tofauti na hiyo ndio sababu ya kilichotokea hizo nyingine mie naziona porojo tu.
 
Ku regret n hatua ya kwanza,pili acha na uachane na huyo jamaa

Ila ulishawahi kutaman kufanywa hivyo na hiyo siku nabet mlikua mmelewa wote na bila shaka aliyeanza kujaribu alikuwa anataka kisingizia pombe kama daraja la msamaha ila bahati mnaya wote mkaona fresh tu muendelee.
 
Ujue Mkuu hata mie nimejikuta nawaza kwa sauti halafu nikakosa jibu.

Nimemuelewa sana pale aliposema toka aanze Chuo amekuwa na tabia ya kujaribu jaribu vitu tofauti na hiyo ndio sababu ya kilichotokea hizo nyingine mie naziona porojo tu.
Wewe Emmy unaelewaga haraka sana, mwenzio hata sijamuelewa amenichanganyia habari hapa
 
Hakuna dhambi, isiyo na msamaha.

Mungu ameisha kukusamehe dhambi zako, before hata hujafikiria kuzaliwa. kikubwa acha na uendelee kumpendeza Mungu, na sio kujifurahisha kwa tamaa za mwilini.

 
Jamani sijauliza ili mnitete au kuniuliza yasio jenga nimefata ushauri na ntayafanyia kazi nataka kuacha kweli. Mi sijui iliingiaje au alitumia nini kufanya iingie na ninogewe papo hapo na sababu nliopewa ni iyo kua alipitiwa kisa pombe. Ila tangu siku iyo siwez kuji control kila nifanyapo nasubir anifanye ila nkiwa kawaida au katika hali yakutulia nafsi inanisuta. Mnaofanya utani asanteni mbarikiwe mnaoni consider nashukuru kwa ushauri wenu. Swali langu la mwisho je nikitubu hii dhambi kweli itafutwa?
 
Huyu keshanogewa na ishakua tabia. Constipation tu inanitoa jasho na najikuta nanena kwa lugha zote!! Leo hii kifaa kiingie huko halafu nitulie tuu!!🙄
Hahahaha eti unanena kwalugha je sasa huko kwanyuma sijui ungenena nini aisee
 
Hakuna dhambi, isiyo na msamaha.

Mungu ameisha kukusamehe dhambi zako, before hata hujafikiria kuzaliwa. kikubwa acha na uendelee kumpendeza Mungu, na sio kujifurahisha kwa tamaa za mwilini.
unajua kumdanganya mwenzako sana, Mungu amemsameheje kabla hajazaliwa na alikuwa hajatenda hii dhambi? kikubwa atubu kwa muumba wake na aache na Mungu atamsamehe sio kashamsamehe kabla. duuuh haya mafundisho ya siku hz sijui tuegemee wapi
 
Kuacha ni ngumu kuliko..... Ila ukiamua unaweza, Cha msingi badilisha mapenzi switch to another man hii ndiyo suluhu ya hili, aliyekuzoesha hawezi kukuachisha....
 
Imeshatokea sasa
Amini usiamini na wala sikutishi. Mwanaume mfiraji hawezi kumuoa mwanamke anayefir........wa na km ikitokea ni mara chache sana tena sana. Huyo anakutisha ili uendelee kumpa tigo na ndiyo mchezo wake lkn ikifika wakati wa kuoa lazima akuache. "neno mke lina thamani kuliko unavyofikiria'' km ww unavyohisi dhambi ndivyo itakavyomtokea pindi akitaka kuoa.
N.B
Najua utakuja kumpa shida sana mume wako.
Nimesoma thread yako, nimesikitika sana tena sana.
Swali.
1. Utajisikiaje mama yako akigundua unafanyiwa mchezo km huo?
2. Utajisikiaje km mtoto wako wa kumzaa wa kike anafir.....,wa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…