Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Duh..we uko dunia gani ndugu?yaani hujui?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu,mambo yaliyopo huko CCM yanatisha.Siyo wazee si vijana.Hali ni hobelahobela tupu.Kuna wengine walikuwa rafiki au jamaa kabisa.Haya mambo so ya kuyafanyia mizaha kisiasa has a kwetu wenye familia.Unakuwa na mashaka matupu sababu watoto wetu kichanganyika kijumuiya.Haujui nani ni nani!Pray hard!
 
Hahahahaaa! Ndugu yenu huyo anatukunyuliwa!Au ukipenda sema ananepewa
Hao tumeshaanza kuwafuta hadi kwenye payroll ya bunge..kuanzia kaka mkubwa mdee na hawara yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Matamanio ama hamu ya "ngono" ama tendo la ndoa bila kujali unaifanya kunyume na maumbile ama kawaida haina itikadi ya chama cha siasa so long as wewe ni binadamu!!

Msikubali kuingia kwenye mtego wa shetani kirahisi rahisi hivyo kwa kuwachanganya mshindwe kumtambua adui yenu halisi....!!

Amkeni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…