Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwenye izo chats ulimuonyesha nini?
Iliendelea mpenzi wangu alijibu
* maneno ayo nishakukataza agy, we ayah*

Agy akijibu kwa emoj ya kufunga mdomo akasema nilisahau mpenzi.

Mpenzi wangu akajibu fala wewe yashapumzika mzee wa ..... hayatumii ( kwenye desh akataja gari langu)

wakatumiana audio clip 2 ambazo hazipo kwenye storage ila nilishapata picha mpaka apo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiomba lazima akatae eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hata usijute kumuuliza ivyo maana ungeendelea kuwa nae au ungemuoa asingeweza kuacha hiyo michezo, tena michepuko yake yote ingekuwa inatumia mtandao pendwa.
 
What a stupid man, hivi unadhani kila mwanamke ana mambo ya kifirauni kama wanawake zako? You should be ashamed of yourself

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a stupid man, hivi unadhani kila mwanamke ana mambo ya kifirauni kama wanawake zako? You should be ashamed of yourself

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaah usipanick...hizi story tu wanaume huwa wanafurahishana tu kusogeza muda but kiuhalisia ni vitu ambavyo havipo na kama kuna wanaofanya niwachache sana so baadhi ya wanaume huanza kudhani kila mwanamke yupo hivyo kitu ambacho c kweli...kuna wanawake wanajiheshimu sana na huwezi hata thubutu kumwambia huo upuuzi
 
Hao wanaotoa hyo kitu ni wapumbavu wala haihusiani na upendo naona ni ukosefu flani wakujitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv nyie jamn mnaambiwa kila sku hamuelew unadai unataka umuoe alafu marafik zake ndo wa type ile isitoshe anakuja kukwambia ujinga wao wanaoambiana ww na hyo nguchiro wote hamjitambui achen kudandia tren kwa mbele tunasingizia wanawake kwamba wanachangia ndoa nyingi kuvunjika ila kwa upande wangu naona n wanaume wasojielewa ndo wanasababisha hv kwa nature ya hyo unaomba ushaur gan.kama vp chukua povu kafulie mashuka yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…