Watu wanaongelea hili kama kitu cha kawaida, tunaiga tu kila kitu lakini kwa mujibu wa Ripoti za kitabibu wenzetu walioanzisha haya wako vizuri sana katika ku maintain usafi na kwa hali ya juu kabisa hospitali zao zimejaa madawa ya kutibu magonjwa yanayotokana na athari za tendo lenyewe. Kibaya zaidi nyuma kuna nerves nyingi ambazo zinampa mtu raha ya ajabu lakini pia kuna mamilioni ya bacteria na athari zake ni kubwa mno. Rafiki yangu mmoja daktari aliwahi kuniambia hakuna kisichotibika ila matibabu yake sasa gharama kubwa mnona alinipa stori za jinsi watu na hasa wadada wanavyokwenda Muhimbili na vilio, wanapata maumivu na wengine wanashindwa hata kukaa, na wengi tayari dalili za kansa zimeanza kuonekane. Tunatakiwa tuwatahadharishe sana mabinti zetu ndugu jamaa na marafiki juu ya mchezo huu umeingia kwa kasi na sasa hauzuiliki tena