Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

tena ukifika hospitali kama una tatizo la kuziba kwa mrija wa haja ndogo wanajua umefanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo wanakufanyia operesheni bila ganzi........!!!!!!!
 
Mungu ameweka tundu moja tu kwa ajili ya ngono na tundu hilo likitumika vizuri linatoa utamu unaofanana na paradiso ya duniani
 
una idea nzuri ila iko 'too easy' to criticise. ningependela kuona hao wanawake 'wanaojutia' bcoz so far hawapo :/
 
Hii makala yako imejitosheleza....anayetaka kuendelea aendelee...anayetaka kufanya...afanye.....ila nakwambia siku si nyingi...litazuka GONJWA BAYA ZAIDI LA HAPO KWA PAPO....na taifa lenye masikio butu,watahaha kufanya kampeni za kukomesha hili....MUNGU YUPO!
 
Hata mbwa na ng'ombe huwa hawakosei njia lakini binadamu tumefika mbali na hii ngono.
 
Acheni basi kuitumia hii njia haifai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…