Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
mbavu zangu mimi,eti tikiti maji lol kwa kweli JF ni baba lao.kama ananunua mwenyewe hayo matango we kinakuuma nini ,mambie atafute tikiti maji
Mawasiliano yake niweze kumsaidia
hivi kwa hii risala unafikir hatuna kaz ad utuandkie maandsh maref kaa vitab vya shigongo we ungeeleza linalokukera au swal linalokusumbua bas sio unatuchapshia kitabu !!!au unerekod saut tu!! Watasoma wenye muda wa kuchezea hyo hadith
No comment