Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

wewe inakuuma nini wenyewe wanapenda tuwafire pilipili usizo zila za kuwashia nini .
 

Hivi kumbe mlango wa uani kwa wanawake ni halali? Mi nilikua nadhani MFIRWAJI anaweza kua mwanamke au mwanaume na wote wafanyao haya hawata uona ufalme wa Mungu.
 

Mimi nakupongeza umesema ukweli na wahusika na washiriki wa haya Jiwe limewapata. Kemea na sema kemea wapo watakao jutia na kuacha na hata akiwa mmoja anatosha.
 
Na ni kwa nini pia sehemu safi wanatumia kinga ila sehemu chafu(mdomo) hawatumii kinga? Na hiyo ya kunyonyana ndimi ilitoka wapi? Ukijua ilipotoka utakuwa umejua kitu cha tigo kilipotokea na sababu za kudumu kwake duniani.

Unaonekana unajua kitu. Jaribu kufunguka kidogo.
 
Toba ni nini?
Unapofanya toba si unajutia makosa uliyofanya na kukusudia kuyaacha?
Mleta mada ndicho alichojaribu kufanya, watu tuone mapungufu ktk matendo yetu na tujihoji na tukusudie kuyaacha (TOBA, ingawa kafanya hivyo kwa maneno mengi yanayojirudia rudia kiasi kwamba kwa wavivu wa kusoma hata kama sio waumini wa hayo matendo imewachosha kusoma.

Nimepitia michango ya watu mbali mbali na imenifanya niwaze; 3 years later Eiyer atakuwa na mchango huo huo? Rutashubanyuma hajabadili style lkn je angetumia mistari ile ile? Je Bishanga leo hii angechangia kama 2012? The Boss bado ni man of very few calculating words. King'asti is always true to herself no change at all na mwisho I was very interested to see my mchango back then, bahati mbaya au sikupitia huu uzi au huenda nilisoma tu bila kuchangia.

Ila shetani kafanya kazi kubwa sana ktk hili. Kuna rafiki yangu anavunja uchumba kwa sababu mchumba wake anaomba kila siku amuingilie kinyume na maumbile. Inauma sana
 
Last edited by a moderator:
Nakula tigo ya mwanamke tu coz wanawake wenye matako makubwa raha sana kuwafira, what i hate tigo ya men hio itantia kinyaa kabla hata sijaiona ila ya dem mashlaah mungu kakupa akili changanya na zako for woman tigo is an altenative door. Tungekua tunamuona God tungemwambia awaumbe upya madem awawekee vilainishi kwenye tigo ili kuondoa usumbufu wa kuwachubua.
 
Astaghafillulah!!!

 

Ubarikiwe sana.
 

hata kama ni wewe sema tuuu.....maisha hayasimami bibie....
 

khaa hata kama mimi ni member mwenzako sijawahi fikiria hata siku moja Mungu awawekee vilainishi ila wewe utakuwa umenizidi sana
 
N
We jamaa unakufuru aisee.Yaani hata humwogopi hata MUNGU huo ujasiri unaupata wapi wa kuyasema hayo uliyoyasema.
 

Tatizo mkiambiwa ukweli mnasema mnahukumiwa.
Hivi unajua maana sahihi ya hukumu au mnapenda kunyamazisha wanaowaambia ukweli.Kufira/kufirwa si sahihi kuna wengine mpaka utumbo unawatoka kwenye puru(mkundu) kwa sababu ya kufanyiwa hivyo vitendo halafu mkiambiwa si sawa eti anahukumu.
Tunawaambia ukweli acheni kufira au kufirwa.
 

We jamaa una hekima na ufahamu mkubwa sana.
 
Common sense (sio linguistic sense) inaniambia kinyume na maumbile ni kutumia kitu tofauti na matumizi yake asilia..au kama ilivyokusudiwa na Mwenyezi Mungu. Sasa ndugu mleta thread umedai wewe sio mnafiki na huwezi support kitu wakati unakifanya...Nina maswali kadhaa kwako:

Unamnyonya maziwa mkeo/mpenzi wako..kama ni mwanamke unamnyonya koni bwanako?
Kama jibu ni ndio unadhani maziwa ya mwanamke yaliwekwa ili yanyonywe na mwanamume au ni hotel ya mtoto? Kumnyonya maziwa sio kutumia kiungo cha mwili wake visivyo therefore "kinyume na maumbile"? Vitabu vinakuruhusu?

Unamnyonya mpenzi wako **** na kisimi?

Huoni kuwa k iliwekwa kwa ajili ya kutmbw, kukojolea na kupitisha mtoto..kuipekenyua na kuinyonya sio kuiendea kinyume na maumbile? Kuna mahali katika maandiko umeruhusiwa?

Unanyonywa koni na mpenzio?
Kwa nini akunyonye wakati hiyo kitu ipo maalumu kwa ajili ya kukojolea na kudownlodia wazungu kwenye k? kwa nini uitie mdomoni??? kinyume na maumbile yake au sio..nipe uliporuhusiwa kidini

Midomo yenu mnaitumia kunyonyana na kurambana miilini na mpenzi wako?
Huoni kama kazi ya mdomo ni kutolea maneno, hewa..kuingizia chakula na vimiminika tu? Kwa nini itumike kinyume na maumbile kwa kunyonya mara masikio, mara koni na papuchi, mara vidole vya miguu, mara kuramba nyayo na mgongo na makalio? Hapo hujatumia mdomo kinyume na maumbile?


Ndugu mleta mada..wewe hutendi dhambi? Biblia yangu inaniambia "kila aliyeumbwa ni mtenda dhambi" Kama unatenda dhambi, ni kigezo gani unatumia kuhalalisha kuwa dhambi uliyoitaja ni kubwa kuliko za kwako? Unadhani mnachekana wapi we unayetenda mojawapo ya dhambi zilizokatazwa na huyo anayekula tigo?

Wewe ni nani mpaka ujipe uwezo wa kuhukumu namna hiyo na kudai nchi sijui italaaniwa kwa sababu ya hiyo dhambi? Kuna taifa lililojaa watakatifu peke yao? Nadhani specifically nchi yetu ina majanga sio kwa sababu ya wala tigo bali kwa sababu ya uozo wa viongozi wa CCM..INCLUDING UFISADI WAO NA UHUJUMU MALI ZA NCHI....Judge not lest you be judged" and "with the same measure that you use against others so shall be used to you"

Cha msingi tumuombe Mungu atusamehe na kutuepusha na dhambi zooote..sio kuanza kuselect moja na kuipa uzito mkubwa as if ndo kubwa zaidi..maandiko yanasema dhambi kubwa isiyosameheka ni kumkufuru roho mtakatifu..naamini mengine yote ni dhambi tu hakuna kubwa wala ndogo

Tujitahidi tusianze tabia ya kutenganisha dhambi..tutachemka

Kuna mzee alikuwa na wanawake wengi (kidini yake anaruhusiwa) mke wa mwisho alikuwa na umri sawa na mwanae..so mzee alikuwa akienda kutoa huduma nyumba nyingine tatu..mwanae anazama kwa dogodogo na kupakua..mzee alipostuka ikawa ishu ila alimsamehe mwanae...mwanae wa pili aligundulika anakula kitimoto..mzee huyo huyo alimfukuza toka kwake na akamwambia aimuone tena milele na hatarithi kitu kwake!!!

Sitaki kusema alikosea..nataka kusema tusitenganishe dhambi na kuiita hii kubwa hii ndogo
 

kweli we ni kauzu mwanangu...duuh
 

Umenifanya nikakague nilichoandika,mtazamo wangu ni ule ule tu dear!
 
Last edited by a moderator:
HEHEHE. Kongosho alishadadavua dhambi ya mauti. Sasa muambie shosti amuambie shem waanze na tigo yake kwanza kabla ya bibie. Halafu waamue kuanzia hapo.

Umenifurahisha eti king'asti is still the same. I dont feel a day older aisee, thank God. Them days though, i miss being young and vibrant
Ila shetani kafanya kazi kubwa sana ktk hili. Kuna rafiki yangu anavunja uchumba kwa sababu mchumba wake anaomba kila siku amuingilie kinyume na maumbile. Inauma sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…