Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

unajua kama mnapendana basi mtasikilizana... kama mumeo ameomba 071 hutakiwi kumnyima na yeye hatakiwi kukuumiza hivyo mwambie tu afanye assumption kuwa anapiga 071 ila awe anapiga papuchi hapo wote mtakuwa mmeridhika...!!!!!!
pigeni makofi basi bonge la ushauri hilo......!!!!!!!
 
nahisi mtu akikuomba tigo amekudhalilisha sana

haswa mume wako

Sio mume tu, hata boyfriend, na wanaume wanaangaliaga watu wa kuwaomba huo ujinga eti. Na ukweli ni kwamba mume mwenye kukuheshimu na kujua dhamani yako kamwe katu hawezi kuongea huo upuuzi achia mbali kujifanya kakosea njia.
 

Hii kitu ina ugumu wake, labda kuanzia mlivyokuwa marafiki huko mlishaanza huu mchezo, sasa kwa mfan o leo hii mimi msukuma aje aniambie hii kitu uhakika ni kwamba italea mgogoro mkubwa sana na labda ndoa ndipo itakapovunjikia hapo.
 
bonge la point yani ...
 

Mwanaume kama huyo hata siku moja hawezi hata kujifanya amekosea njia kwa bahati mbaya, na mwanamke ukawa na mume wa kukutamkia kitu kama hicho huyo sio wa kuitwa mume kamwe, labda na mwanamke nawe uwe tayari kwa kufanyiwa huo ufirauni ndio utamuona kama ni mume na baba wa watoto wako.
 

Kitu ambacho hawakijui ni kwamba mapenzi hayapimwi kwa namna ya tendo tu, na hicho kitu kila mtu anacho, uweje leo mwanamke ujione ndio special sana na kujihisi ndio utapendwa zaidi ilihali akiitaka kwengine popote anapata? binadamu wengine jamani sijui wapoje kwa kweli.
 
Yaaani mimi kabla hajamalizia kuomba huo ujinga atakuwa kashakula kibao kimoja matata then from that moment onwards he won be my hubby anymore.
Wala sitataka sijui vikao vya usuluhishi sijui nini huko nooooo ni napita hivi.
 

Kumbe MASHOGA wako wengi jf.
 
Yaaani mimi kabla hajamalizia kuomba huo ujinga atakuwa kashakula kibao kimoja matata then from that moment onwards he won be my hubby anymore.
Wala sitataka sijui vikao vya usuluhishi sijui nini huko nooooo ni napita hivi.

We unaongea tu mdomoni lakini ukiwa chumbani unaukalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…