Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mi nadhani amuingilie kikawaida halafu wakati mambo yanakolea amuwekee kidole kuna pahali.confessions itakuja tu kwani mtu anayefikia hali ya kumuomba aliwe Tigo atakuwa kakubuu ghafla au haelewi majukumu yake
 
Wakati watu wanahangaika kupata kitu fulani wengine wanakikataa tena kwa nguvu na gharama kubwa. Hii ndio dunia.

Duc in Altum
 
Tarehe 08/07/2016 mamlaka ya mawasiliano Tanzania ilitoa adhabu kwa kituo cha Television Clouds Tv kuomba msamaha kwa watazamaji wake kwa kipindi kilichorushwa kuhusu ushoga siku chache zilizopita,na Adhabu hiyo iliwataka kuomba Radhi kwenye Taarifa ya saa moja na saa tano usiku kila siku mfululizo kwa siku Tano..

Cha kusikitisha kituo hiki kimeweka Ngumu...

-Kwanza Wanasisitiza walikuwa sahihi na kusema watakata rufaa.

-Pili katika Taarifa yao ya Habari hawajafanya hivyo bali kupitisha ujumbe mfupi wa maneno unaosisitiza watajadili suala hilo wa Ubora zaidi Sijui wanamaanisha nini?

Hivi Clouds TV wanapata wapi kiburi cha kuigomea TCRA au Nani wanamuogopa Boss waomfadhili wao Maybe) au nani!!

Ni matumaini yetu kuwa suala hili litachukuliwa serious na MBABE WA VITA MAKONDA.

Tusubiri....
 
Mkuu wa Mkoa, Mbabe wa Vita, Mh. Makonda, watolee uvivu hawa.. plse, iwe funzo nchini na duniani kote...!!

Clouds wanajua wako enzi za JK..!!

Am looking fwrd Makonda kula nao sahani moja..!!

Ruge ni mtu mmoja anajiona anajua sana, na anajiona celebrity,kumbe hovyo sana Ruge.. arrogant tu,.. I believe atakutana na mkono wa Makonda.. demu wake huyo mtangazaji ndio ana promote ushoga nchini, dawa ni kuwafungia tu..!!
 
kabisa wanachezea sharubu za mfalme
 
Wapigwe chini ili ili liwe somo ..namba isomeke fasta hapo
 
Wakifunge tu hata kwa siku tatu, ili wajue kuna serikali.!
 
Watanzania lazima tubadilike,vitu hivyo vipo kwenye jamii sasa kwanini tukwepe mjadala wa kujua nin chanzo cha tatizo?Clouds hawana kosa lolote,katiba ya jamhuri ya muungano imetoa uhuru kwa "kila mtu" kuwa na haki ya kutoa mawazo yake kwenye chombo chochote!Clouds wakienda mahakamani watashinda hasa kwa nguvu ya ibara ya 18 na 20 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
 
Unajua watu wanachanganya kati ya ushoga na mashoga. Ushoga ndiyo kitu kibaya ila mashoga siyo wabaya. Tunachopaswa kufanya ni kuwaeleza habari njema ili wamgeukie Mungu na kuacha njia zao mbaya. Na hatuwezi kufanikisha hilo bila kuwa nao karibu. Lazima tuwapende kama tunataka wamgeukie Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…