Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

hicho kipindi kingerushwa tv nyingine uongeona jinsi ambavyo wenye inchi yao wakishindana kukemea na kutoa adhabu kalii.
 
ujinga wa watanzania unasikitisha, kuna utafiti uliwahi kufanyika ikaonekana watu wenye asili ya africa ni watu wanao ongozwa na hisia zaidi kuliko logic, sasa mtu anasema "wafungiwe tu" ,hivi udhani hao clouds wakienda mahakamani watashindwa? kwa kosa lipi? kuliangazia tatizo linaloshamiri kwenye jamii? unadhani watu watajifunza vipi namna ya kuwalinda watoto wao bila kupata elimu na ushuhuda? kulifumbia macho tatizo na kujifanya kama vile hulioni hakutatui tatizo. hatua ya kwanza kutatua tatizo ni lazima utambue uwepo wake na ukubali kwamba kuna tatizo. africa hisia nyingi, akili kidogo...... kila tatizo utasikia "wazungu wametuletea haya mambo.."
 
nasubir sana mwendelezo wa Kaoge. Wanaopinga kwa nguvu huenda ndo wadau wa Kaoge maana akidai kuwa akiwataja wadau wake anaweza tekwa. Jambo hilo lipo katika jamii hivyo wapo sahihi lizungumzia
 
Ni kweli uliyoyaandika. Ila hawaitaji support
 
Unajua kila jasiri hutaka kutoiacha asiri take ili aendelee kuitwa jasiri basi ngoja tusubili tuone itakuaj!!!!???

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ni kweli ushoga haukubaliki tena kabisa. Hata tukijifanya tupo civilized kiasi gani mambo mengine ni upuzi tu kwanza ni kunyume na sheria za Mungu
 
MBABE WA VITA MAKONDA? Poor you! Hii sio karne au wakati wa MTU MMOJA kutawala Dunia (Dictatorship) bali ni wakati wa MAAMUZI ya WENGI (Democracy). Kama bado una mawazo hayo naomba utupishe sisi tusonge mbele, utatukuta mbeleni. Wakati huo ulikuwa ni wa kina HITLER, SADDAM HUSSEIN, IDD AMIN, nk.
 
Tatizo ni kulijadili kwa undani, na kutaja hata vitendea kazi ! Loo! Inafunza nini kwa watoto na jamii? (Uwazi usio na mipaka, wala stahaa)
 
Wewe jane lowasa acha kusupport ushoga
Kama kwako unaona Sawa ni wewe
 
Mnajadili mjue chanzo kwani hamkijui? Kwanini msiwaite waliopitia huko na kuacha huo ufirauni ili tujue kweli unataka kuelimisha? Yaani kumuita mtu ambaye yuko kwenye hiyo industry ni kuchochea zaidi ni kumtafutia wateja
 
Wewe jane lowasa acha kusupport ushoga
Kama kwako unaona Sawa ni wewe
Katika watu wanao usapot ushoga kwa asilimia kubwa ni wanawake huwa nashangaa wanawaalika hata kwenye rusha roho wasasambue kwa hiyo usishangae huyo mwanamke kushabikia
 
Katika watu wanao usapot ushoga kwa asilimia kubwa ni wanawake huwa nashangaa wanawaalika hata kwenye rusha roho wasasambue kwa hiyo usishangae huyo mwanamke kushabikia
Kwa sababu wanawake huwa wanaliwa tigo zao.....alaffu wanapenda kukuwadiwa na mashoga + umbeaa
 
Mnajadili mjue chanzo kwani hamkijui? Kwanini msiwaite waliopitia huko na kuacha huo ufirauni ili tujue kweli unataka kuelimisha? Yaani kumuita mtu ambaye yuko kwenye hiyo industry ni kuchochea zaidi ni kumtafutia wateja
Waliopita huko na kuacha unawapata wapi?Ni sawa na kutafuta sukari kwenye mchanga!Wakati kampeni ya Kala Pins inaanza clouds mliponda sana,wakati huo alikuwa anazungukia wana walioko kitaa wanaobwia unga,aliwahoji na baadaye akawa anawasaidia walio tayari kufika rehab centre!Mpaka sasa amesaidia watu wengi sana,hata Child Benzi ameacha unga kwa msaada wa kala pina na clouds kwa ujumla!
Kila changamoto ina mwanzo wake wa utatuzi,wakati ndio huu!Huku kitaa mashoga wanazidi kuongezeka,watoto wadogo wanawaona!Kukaa kimya haina msaada!Clouds wameanza,yawezekana kipindi hakikufikia lengo lakini at least wameanza!
Huku kufumbia macho tatizo ndio tunalipalilia
 
Wewe unasapot nini ushoga au mashoga?
Nawapenda na kuwasapoti mashoga in the sense that nao wameumbwa na Mungu na pia wana nafasi ya kurithi Ufalme wa Mungu kama wakiacha njia zao mbaya na kutubu. Lakini hawawezi kutubu kama wasipoambiwa wanachopaswa kufanya. Na hapo ni lazima uwapende.

Kumbuka Mungu anachukia dhambi zote kwa kiwango kilekile. Mbele za Mungu, ushoga hauna tofauti na ulevi na ulevi hauna tofauti na uongo. Sisi ndiyo tunaangalia individuals lakini Mungu anaangalia dhambi kama dhambi.
 
Hiki ni kipimo halisi cha msimamo wa serikali kuhusu masuala ya utamaduni wa mtanzania kupitia TCRA, Wizara ya Utamaduni, Jeshi la Polisi ,Wakuu wa mikoa na kadhalika.
Ila nina imani na serikali itaweza kuwashughulikia Clouds FM. Kama imekuwa na ghati za kupiga chini EPA ambayo ingepenyeza kirahisi mambo haya ya kishetani yaungwayo mkono clouds na Clouds basi tusubiri Nyundo ya tani tano kuwa shukia clouds.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…