Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Ata mie sielewi mkuu! Hivi mtu haoni aibu anakutwa njia zote zimefunguliwa! Ata kama mimi ndo huyo mwanaume upendo utapungua tu. Na mwanaume yeyote anaemla tigo mwanamke hua hana mipango mema kwake. Ni kumtumia tu ... Wanandoa wengi hawathubutu kuomba tigo kwa wake zao au ata boyfriend kumuomba girlfriend ni ngumu ko wanatafuta wa kumchafua nje.
 
Iko njia ionekanayo ni njema machoni pa mtu lakini mwisho wake ni mauti. Mithali 16;25
 
Kumbe wewe ni mkunga?,basi sawa,wanakuja pm muda si mrefu.
 
1.Wote wanaoshiriki hilo tendo kamwe hawatauona ufalme wa MUNGU .... 2.Kwanini lakni ule jicho pori wakati kuna sehemu husika iliyoruhusu...
3.Binadamu ifike kipindi tuwe na Hofu ya Mungu....
Mtu kaweza kufanya zinaa bila kumuogopa mungu,halafu aje kumuoga mungu kwa kula tigo tu?
 
Wote mnakataa sio wapenzi wa tigo, sasa nani mpenzi wa mini kabang?

Au mdomoni hamuongei ukweli, ila moyoni mmeifadhi ukweli mtupu?

Kama mnafurah yote heli.
 
Muombe Mungu akukingie jambo hili, wale wanao kana kwa nguvu ndio watoji wakubwa
Mimi sifanyi hata iweje mkuu kwanini nijichulie tena kwa kujidaganya eti kumlinda mwanaume au ka sihela nitatafta kwa njia halali.
 
Naona kwenye Tv.
Maana wakikunja sura, nami nakunja kama nahisi....mweeee!!!!
Afu kuna siku nilishuhudia rafiki yangu akiingiliwa live kisa aliahidiwa 50,000
Hapo patamuu maimii,kama uliona live,sasa toa darasa kwa wanawake wenzio jukwaani ili iwe fundisho au vipi?,sasa nimeelewa uliposema unajua maumivu yake,daah sipati picha jinsi ulivyomwonea huruma.
 
Tena wengi hupata shida kuna mdada alienda government na kule had wakufanyie operation ujue kwa kawaida kumeshindikana, aliteseka yani had kuwekwa nguo, mwanaume yoyote anayemfanyia mwanamke hivo ni mvovu na hana huruma
 
Kweli kwa sawa hili limezidi kuwa kubwa kwani kufnya hivyo ni kinyume ya maadili. Wengi wao uingia kwenye kisa hicho kutokana na kuiga kutoka kwa wazungu. So kwa mwanamke ni kujishushia adhi ya kuwa wewe sio mwanamke sahihi na uko kinyume na maandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…