Kwanini Wanyama wote(karibia) hujamiiana kwa Nyuma?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Sijawahi kuona Mnyama yoyote mbali na Binadamu ambaye Dume halimuingilii Jike kwa nyuma yaani kupitia matakoni, hivi ni kwanini?

Je, inaweza labda kuwa ndiyo moja ya sababu ya Wanaume wengi kupenda wanawake wenye makalio makubwa pmj na style ya kujamiiana ijulikanayo kama doggy style ndiyo style maarufu na ipendwayo siajabu klk zote?

Kwa maana wataalamu wanatuambia kwamba tumetokana (Binadamu) na Wanyama au tusema ndugu zetu wa karibu kabisa ni Wanyama ni hivyo inawezekena kabisa labda sababu ya Wanaume kupenda Wanawake wenye makalio makubwa inatoka na asili yetu ya kujamiiana kwa nyuma kama Wanyama wengine wafanyavyo?

Angalia mwenyewe baadhi ya picha za wanyama wanapojamiiana!
















 
Punda hawafanyi hivyo!!
Anayebisha aweke picha.

Tupia na picha ya pusi.
 
Hiyo ni kwa sababu ya position ya genital organ ya majike na wanyama wengi hawana tabia ya kulala kwa kunyoosha miguu kama binadama so inakuwa rahisi kuingia kwa upande wa nyuma kutokana na position ya organ ya jike .
 
Sasa mleta mada wewe unataka wajamiane kwa mbele na huku nyeti zao ziko nyuma?
 
Sio Wanyama Wote! Kunguru Hafanyi Hivyo Trust Me! Kama Unabisha Nenda Kwenye Dampo lolote lile Ukawaangalie.
 
Punda hawafanyi hivyo!!
Anayebisha aweke picha.

Tupia na picha ya pusi.
Au unataka na ya binadamu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€




 
K ya wanyama takriban wote imekalia kwa nyuma (matakoni)
This is reason!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…