wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Mi nadhani kwa sababu ile "inshu"iko nyuma kwa kuwa ana miguu ninne akiwa amesima na miguu yote!! Na kama akisimama na miguu miwili ilw ya nyuma inshu inatizama chini!!ni sawa na wewe ulivyosimama kwa miguu miwili inshu inatizama chini!!lakini ikijaribu kusimama na miguu na mikono pia inshu inageukia nyuma!![emoji85] [emoji85]