Kwanini Wanyama wote(karibia) hujamiiana kwa Nyuma?

Mi nadhani kwa sababu ile "inshu"iko nyuma kwa kuwa ana miguu ninne akiwa amesima na miguu yote!! Na kama akisimama na miguu miwili ilw ya nyuma inshu inatizama chini!!ni sawa na wewe ulivyosimama kwa miguu miwili inshu inatizama chini!!lakini ikijaribu kusimama na miguu na mikono pia inshu inageukia nyuma!![emoji85] [emoji85]
 
Embu weka na za binadamu tulinganishe kama ni kweli
 
Nani kakwambia sex kwao sio pleasure? Ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia?
 

Kwa hiyo unataka kuhalalisha na Binadamu nao wapigane nyuma?
 
Sasa kwani hizo sehemu zao zimekaa wapi hadi ushangae, kichwani?
 
Siku wakiweza kutengeneza vitanda watazipiga na hizo za sakayonsa kiwanzenza au cha upepo kujipimia vile vile wapelekeeni movie zenu waone wanaweza kuongezea ubunifu.
 
Embu weka na za binadamu tulinganishe kama ni kweli-Copied from dex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…