sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi?
Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa tu na yeye ameamua kukaa kimnya?
Ninajiuliza mbona wanyonge wa JPM Sasa wamegeuka wanyonge wa Kassimu Majaliwa? Yeye ndo anayewasemea na wanamlilia yeye kuliko Rais kwanini?
Au Mimi nasikia vibaya? Wako wapi waliokuwa wakijitokeza barabarani kumzuia Magufuli wakilia Lia barabarani mbona hawapo? Au walikuwa ni vijana wake wa idara alikuwa anatuzuga?
Karibuni sana