Kwanini wanyonge wa Hayati Magufuli wanamlilia sana Kassimu Majaliwa kuliko Rais Samia?

Kwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
Apewe mpangoo ni kitu ile au ummymwalimu namkubali sana .
Sio simpendi Samia hapana siwezi mkataa raisi wa tanzania yule mama ni bibi ni mama wa mtu so lazima uwe na heshima hata kama yeye hana wewe unamwonyesha tu .
 
Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi?

Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa tu na yeye ameamua kukaa kimnya?

Ninajiuliza mbona wanyonge wa JPM Sasa wamegeuka wanyonge wa Kassimu Majaliwa? Yeye ndo anayewasemea na wanamlilia yeye kuliko Rais kwanini?

Au Mimi nasikia vibaya? Wako wapi waliokuwa wakijitokeza barabarani kumzuia Magufuli wakilia Lia barabarani mbona hawapo? Au walikuwa ni vijana wake wa idara alikuwa anatuzuga?

Karibuni sana

Majaliwa anaifahamu Tanganyika yule mwingine anaifahamu Zanzibar
 
Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi?

Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa tu na yeye ameamua kukaa kimnya?

Ninajiuliza mbona wanyonge wa JPM Sasa wamegeuka wanyonge wa Kassimu Majaliwa? Yeye ndo anayewasemea na wanamlilia yeye kuliko Rais kwanini?

Au Mimi nasikia vibaya? Wako wapi waliokuwa wakijitokeza barabarani kumzuia Magufuli wakilia Lia barabarani mbona hawapo? Au walikuwa ni vijana wake wa idara alikuwa anatuzuga?

Karibuni sana
Kamuuzie mahindi Samia na wewe kule Kasulu yuko kwenye ziara.
 
Kwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
Kipengele gani kwenye katiba kinataka utaratibu huo!? Halafu hao wa dini nyingine Wana Roho mbaya Sana wakiongoza nchi na Wana udini sana
 
Zile zilikuwa siasa za kishamba sana, yale maigizo ya kulia sijui nini yalikuwa staged ili kuhadaa umma kuwa wanawajali wanyonge.

Huyo mnyonge anasubiri rais afike ndio tatizo lake litatuliwe si atakuwa mnyonge daima? Huyu wanayemlilia sasa kama wako, ni kwakuwa wanajua ni mshamba aliyebaki.
Siasa za kisasa ni kama za Chadema. Mgombea Urais wao anakaa Ughaibuni anakuja kugombea, anashindwa na anarudi kuishi Ughaibuni! Ahahahahah!!!
 
Hakuwa anaishi ulaya mpaka yule mshamba aliyeko jehanamu alivyotaka kumuua. Na aliporudi akaishia kumpora uchaguzi akaagiza auwawe tena, ulitaka abaki akifanya nini?
 
Back
Top Bottom