Kwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?Kassim Majaliwa ni rais ajaye
Ule ulikuwa ni ujinga wa kiwango cha juu. Mara muuza mahindi ya kuchoma pale Njiapanda ya Turiani, siku nyingine muuza jogoo huko Kilwa àu muuza kahawa Chato.Ili linanishangaza?hivi siku hizi wale Tiss walio mpatia taarifa Raisi mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani,m Kwa vitenndo wameenda wapi...
Ili linanishangaza?hivi siku hizi wale Tiss walio mpatia taarifa Raisi mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani,m Kwa vitenndo wameenda wapi...
HAHA TUKO DARASA LA 6 SASA ILA MATOKEO NI 3-0. kumbe wa 4 ni nzuri kwa afya mmoja unaondoka mapemaKwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
Marais wakristo katili sana...Kwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
akija Rais mkristo makumo atakua mzanzibar,Rais akifa ghafla tunatawaliwa tena na mjomba wa wasultani.Kwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
Hakuna shida naona, kwa sasa nadhani hakuna masikini tena ktk 'nnji' hiiHili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi...
Huo utaratibu haupoKwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
Hizi ni propaganda tu kama vile tulivyokua tumeaminishwa tulikua tunapokezana bara na Zanzibar.Kwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
Sasa hivi machinga wameisha kabisa kwenye akili za nyumbuakija Rais mkristo makumo atakua mzanzibar,Rais akifa ghafla tunatawaliwa tena na mjomba wa wasultani.
Wanamliliaje, bainisha vizuriHili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi...
Hili linanishangaza! Hivi siku hizi wale Tiss waliompatia taarifa Rais mwendazake na yeye kukosa kifua kuzisema hadharani, kwa vitendo wameenda wapi?
Au siku hizi wanaripoti kwa Kassimu Majaliwa tu na yeye ameamua kukaa kimnya?
Ninajiuliza mbona wanyonge wa JPM Sasa wamegeuka wanyonge wa Kassimu Majaliwa? Yeye ndo anayewasemea na wanamlilia yeye kuliko Rais kwanini?
Au Mimi nasikia vibaya? Wako wapi waliokuwa wakijitokeza barabarani kumzuia Magufuli wakilia Lia barabarani mbona hawapo? Au walikuwa ni vijana wake wa idara alikuwa anatuzuga?
Karibuni sana
Na Mama Bonge awe Waziri Mkuu wake.Kassim Majaliwa ni rais ajaye