Kwanini wanyonge wa Hayati Magufuli wanamlilia sana Kassimu Majaliwa kuliko Rais Samia?

Kwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
Apewe mpangoo ni kitu ile au ummymwalimu namkubali sana .
Sio simpendi Samia hapana siwezi mkataa raisi wa tanzania yule mama ni bibi ni mama wa mtu so lazima uwe na heshima hata kama yeye hana wewe unamwonyesha tu .
 
Majaliwa anaifahamu Tanganyika yule mwingine anaifahamu Zanzibar
 
Kamuuzie mahindi Samia na wewe kule Kasulu yuko kwenye ziara.
 
Kwa hiyo tumeachana na ule utaratibu wa kupokezana Wakristo na Waislaam? Au Majaliwa Majaliwa kabadili imani yake?
Kipengele gani kwenye katiba kinataka utaratibu huo!? Halafu hao wa dini nyingine Wana Roho mbaya Sana wakiongoza nchi na Wana udini sana
 
Siasa za kisasa ni kama za Chadema. Mgombea Urais wao anakaa Ughaibuni anakuja kugombea, anashindwa na anarudi kuishi Ughaibuni! Ahahahahah!!!
 
Siasa za kisasa ni kama za Chadema. Mgombea Urais wao anakaa Ughaibuni anakuja kugombea, anashindwa na anarudi kuishi Ughaibuni! Ahahahahah!!!

Hakuwa anaishi ulaya mpaka yule mshamba aliyeko jehanamu alivyotaka kumuua. Na aliporudi akaishia kumpora uchaguzi akaagiza auwawe tena, ulitaka abaki akifanya nini?
 
Bet umetumia resources nyingi kuunda hiyo heading
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…